Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza sekta ya madini na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.