Rais wa uswiss akisubiri treni

Rais wa uswiss akisubiri treni

Kwao sio tatizo. Serikali itawajibika kwa matunzo ya watoto hao; pia mzazi (wazazi).
Nguvu kazi inaandaliwa mapema ili baadaye ije kulijenga taifa lao. Watakosaje kuwa wazalendo kama serikali inawajibika kwako moja kwa moja kwa namna hiyo...?
Ni kweli mkuu, katika hali kama hiyo hakuna sababu ya kutokuwa mzalendo kwa nchi yako
 
Mkuu, Uswisi wanamfumo wa kipekee sana kiutawala. Kwa nyongeza, usishangae kupishana naye mtaani, Benn, akiwa amepanda baiskeli!
Sababu ni kuwa kila mtu ameshiba na amestaarabika.Asiye na kazi analipwa kama mwenye kazi.
 
Kwao sio tatizo. Serikali itawajibika kwa matunzo ya watoto hao; pia mzazi (wazazi).
Nguvu kazi inaandaliwa mapema ili baadaye ije kulijenga taifa lao. Watakosaje kuwa wazalendo kama serikali inawajibika kwako moja kwa moja kwa namna hiyo...?

Wazalendo kwa kumimbana asubuhi na jioni?
Ila bora tu hizo huduma ziishie huko huko...manake zikija huku population itadouble....
Hapa tulipo wamama wanajifungulia chini...lakini tunazaliana hatari....
 
Huku kwetu si kwamba huwezi kuwaona, achilia mbali Rais hata mawaziri, bali hata huwezi kuwaona viongozi wakuu wa baadhi ya madhehebu wakiwa wenyewe!! Yaani baadhi ya viongozi wa dini hawaaanimi hata yale wanayowahubiria wanakondoo wao.
 
Wazalendo kwa kumimbana asubuhi na jioni?
Ila bora tu hizo huduma ziishie huko huko...manake zikija huku population itadouble....
Hapa tulipo wamama wanajifungulia chini...lakini tunazaliana hatari....

1.Hawamimbani asubuhi na jioni.

-" Uswisi Fertility rate yao ni 1.52 kwa kila mwanamke, wakati Tanzania ni 5.29 kwa kila mwanamke. Population growth 0.7%-0.8%, Tanzania ni 3.0%. Hiyo ni sababu tosha ya kuwahamasisha wakazane-kuzaa....

2.Zitaishia huko huko,Bongo itabaki kuwa ni ndoto za alinacha;"wazee wa magumashi". Serikali yao wanajua mtu ni raslimali na ni chachu ya maendeleo;akitunzwa vizuri atazalisha na kuchochea maendeleo ya nchi husika
 
“An insane
person is cured the day he recognizes
his insanity… but if he does not
recognize it, he will remain insane…”
Tuwaombea viongozi wetu Afrika wapate unafuu.
 
ni kama siamini amini macho yango, Watu8 niweke sawa hapa
 
Sisi tupo bize kuwaiga kina lady Gaga na lil wayne wakiwa uchi. Hatuigi mazuri kama haya. Hapo amesave milions of shilings kumpeleka nyumbani kwake.

Africa tuna shida ya uongozi wenye weledi.
 
Aangalie yasije yakampata yaliyompata Waziri mkuu wa Sweeden Olfo Palme
 
Back
Top Bottom