Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 757
Nafikiri haujui anachofanya Raisi Rodrigo wa Ufilipino,kihistoria huyu jamaa alikuwa ni mayor wa jimbo fulani huko kwao na katika uongozi wake inasemekana alikuwa na kikosi cha udunguaji wauza madawa ya kulevya hivyo tokea amepata uraisi miezi miwili iliyopita watu 1900 na ushee wamepoteza maisha kutokana na amri yake ya kutokomeza Madawa ya kulevya,polisi wamepewa amri ya kuwaua watumiaji,wasambazaji pia wafanya biashara wakubwa ,cha ajabu sasa hata baadhi ya Polisi ni baadhi yao wapo kwenye biashara hiyo kwa ruhusa waliopewa basi wanateketeza kila mtu anayejua kuwa walishawahi fanya nao biashara.Hali imekuwa mbaya sana hasa kwa mateja risasi ndio zimekuwa hukumu kwao,inasikitisha kwa kweli si suala la kufurahia kwani unapowapa vyombo vya dola uhalali wa kuua bila kufuata sheria matokeo ndio hayo.
"Double your efforts. Triple them, if need be. We will not stop until the last drug lord, the last financier, and the last pusher have surrendered or put behind bars -- or below the ground, if they so wish," he said in his July 25 State of the Nation speech."