Wakati imebaki siku moja watu walio daganywa wakadaganyika kuingia kuandamana ni bora wakatafakari haya nakumuomba radhi Rais wetu kwakuwa mwana democrasia.
Uko ufilipino wananchi yapata mwaka sasa walimchaguwa kidemocrasi rais mwenye maamuzi magumu ktk maswala ya kitaifa. Rais huyo tangu ameongia madarakani amesha nyonga zaid ya watu miasaba hamsini wauza unga. Tz hajanyonga hatA mmoja.
Rais huyo alienda mbali kutoa kibali raia kuwauwa wauza unga jambo limeongeza idadi kufika elfu. Hapa tz rais amesema wakitumia silaha ndio walazwe.
UN wameikemia uphilipino rais akawajibu kama kuwa UN nikuruhusu democ yakuwaruhusu wauza unga atajitoa uko un. Tz rais wetu hana red flag ya kutoka Un.
Rais huyo anaye nyonga wahalifu bila huruma wananchiwana muunga mkono 95%. Tz watanzania wanamuunga mkono kwa 98% tangu kuingia madarakani....