RAIS wa UFARANSA akamatwa na polisi!

RAIS wa UFARANSA akamatwa na polisi!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Chanzo:BBC
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anashikiliwa akihojiwa kutokana na tuhuma za kufanya ushawishi kuhusu kesi inayochunguzwa ya matumizi mabaya ya fedha katika uchaguzi uliopita.
Bwana Sarkozy anashikiliwa Nanterre, karibu na mji mkuu Paris, katika tukio la aina yake dhidi ya rais huyo wa zamani wa Ufaransa.
Taarifa zinazohusiana
Ulaya, Siasa
Mwanasheria wa Bwana Sarkozy, alihojiwa Jumatatu kuhusu tuhuma za kutafuta taarifa za ndani kuhusu kesi inayomkabili kiongozi huyo wa zamani.
Hali ya sasa hivi inaonekana pigo katika jaribio la Bwana Sarkozy kuwania kiti cha urais mwaka 2017.
Wachunguzi wanajaribu kutafuta iwapo Bwana Sarkozy, mwenye umri wa miaka 59, ambaye alikuwa rais wa Ufaransa kutoka mwaka 2007 hadi 2012, aliahidi kumpa wadhifa mkubwa jaji wa Monaco, Gilbert Azibert, ikiwa ni shukrani ya kupatiwa taarifa kuhusu uchunguzi unaofanyika dhidi kuhusu fedha aliyoitumia katika kampeni ya uchaguzi.
Wanachunguza madai kwamba Bwana Sarkozy alionywa simu yake ilikuwa inadukuliwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi wa fedha zilizotumika katika kampeni.
Bwana Azibert, mmoja wa majaji waandamizi katika mahakama ya rufaa, aliitwa kuhojiwa Jumatatu. Jaji mwingine Patrick Sassoust, naye pia alihojiwa, kama ilivyokuwa kwa mwanasheria wa Bwana Sarkozy,Thierry Herzog.
 
Hawa ndiyo wanajua siyo sisi mapoyoyo,raids fisadi hachukuliwi hatua hata akistaafu
 
Laana za Gadaffi hizo. Hata huko kaburini gadafi naye anamdai. Alimpa pesa nyingi sana
 
Ukisoma kwenye bbcnews.com pale chini imeunganishwa na tuhuma za gadafi katika habari hii. sijajua kwanini mtoa mada ameikata au chanzo chake kwanini kimeikata habari hii.
 
Biased story...!!!! Ana maslahi binafsi inavyoelekea
 
Huu jamaa kwanza hana shukurani, Gadaffi aliwahi kumpatia fedha za kufanya kampeini huko Ufaransa na akashinda kuhukwaa Urais - uchaguzi wa term ya pili ulipo karibia akawa na wasi wasi wadi kwamba Gaddafi anaweza kutoa siri kuhusu Sarkozy; ndio maana rais huyo wa ufaransa ndiye aliye kuwa wa kwanza kuhidhinisha kikosi cha anga cha Ufaransa kuishambulia Libya, si hilo tu vile vile ndiye aliye watuma majasusi wa Ufaransa wanye asili ya Libya kwenda kumpiga risasi Gaddafi.
 
Back
Top Bottom