PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Wakuu

Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===

Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.

Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.

Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.

View attachment 3360745
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
 
Ambiwe akamuulize Ntobi na Jasusi Mwitu Yeriko kwenye uchaguzi wa CDM kejeli kama hizi na tambo kama hizi ila 21st January liliwakuta jambo hadi leo hawaja recover endelea kudharau mitandao utakuja kustuka too late ushaliwa
 
Attachments

  • NRNE.jpeg
    NRNE.jpeg
    18.4 KB · Views: 14
Naona dawa ya no reforms no election inapenya kila kona, watu wanahara tu ikiwapenya, na hapa bado, watanganyika wenzangu tuzidi kipuza sauti , wazanzibar washatuita kenge
 
Anavyoongea tu unaona tu anavyoitolea udenda bahasha ya khaki kutoka Lumumba.
 
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Usiache uchawa uongoze akili zako, kipi hasa cha kumfukuzisha chuo mwanafunzi hapo?
 
Wakuu

Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===

Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.

Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.

Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.

View attachment 3360745
Akimaliza chuo aje mtaani kuendesha bodaboda
 
We hukioni? We waache wachezee shilingi chooni, kwani wao ndio watakuwa wa kwanza kufukuzwa
 
Vyuo vikuu vipi? Hao ambao wakimaliza masomo tunaishi nao vijiweni bila kazi;Wakati falsafa zingine zinaamini nchi ina mali inayotumiwa na nchi za nje badala kunufaisha Taifa.
 
Wakuu

Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===

Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.

Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.

Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.

View attachment 3360745
Kati ya watu ninaowaonea huruma ni huyu dogo.

Yupo upande sio kipindi kibaya sana.

Kuna watu this time next year watakuwa wanajuta kusimamja upande wa waovu.
 
Msomi wa chuo kikuu!! Anaona katiba ipo sawa!! Nakumbuka kauli ya Mkenya kuwa darasa la nne Kenya ni sawa na mwanafunzi wa chuo kikuu Tz.
 
Zamani wajinga walikuwa watu wazima na wazee, siku hizi vijana wengi ni wajinga.
 
Akae akijua kuna wahitimu wa vyuo vikuu wa kuanzia 2015 hadi leo bado wanasikilizia ajira......
 
Wakuu

Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===

Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.

Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.

Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.

View attachment 3360745
Wewe Rais,utashiriki na sio wanafunzi!
Hayo ni mawazo Yako sio yetu
 
Back
Top Bottom