Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Kitabu kipya kuhusu Urais wa Donald T. kimeeleza kuwa baada ya shambulizi la Chemical Attack ambalo Assad alituhumiwa kulifanya nchini kwake, Rais DT alitaka Assad auwawe lakini Waziri wa Ulinzi General Jim Mattis badala yake akaandaa Shambulio la Anga lililo changiwa pia na Uingereza na Ufaransa.
"Mattis told Trump he would "get right on it," but instead developed a plan for a limited air strike that did not threaten Assad personally."
Trump reportedly told Mattis that he wanted to assassinate Bashar al-Assad after his chemical weapons attack on Syrians last year
White house hawakujibu kitu baada ya kuulizwa ku comment kuhusu yaliyojiri.
Pentagon nao walikataa kusema lolote kuhusiana na haya.
Katika mengineyo ndani ya kitabu hicho kilichoandikwa na mwandishi wa habari Bob Woodward, imeelezwa kuwa Rais DT alitaka kujitoa kutoka Trade agreement na South Korea lakini Economic Advisor Gary Cohn akazuia.. "I'll just take the paper off his desk," Cohn told another White House aide, according to the book. Mpango huo pia ulitaka kuiondoa Marekani kutoka North American Free Trade Agreement, pamoja na Canada na Mexico. Marekani bado ipo katika mikataba yote wakati maongezi yanaendelea