Rais wa Syria Bashar al-Assad Alitakiwa Kuuawa

Hao subordinate wameona maagizo yake hayana manufaa kwa taifa wakakataa hila nchi ambazo rais ananguvu kuliko taasisi raid hata akitoa maagizo ambayo hayana maslahi kwa taifa subordinate watatekeleza kwa uoga tu.

Mwelekeo wa hoja za aina hii tunaufahamu baadhi yetu...lakini tuwathibitishieni jambo moja pamoja na propaganda za aina hii nchi hii itasonga mbele...na tumechelewa mno kumpata mtu wa aina hii...Halafu taasisi ambazo zinatekeleza matakwa ya 'nchi za magharibi' hazitufai...we need a strong leader, and here and now we have one..God bless him...God bless TZ...God bless Africa...
 
Nje ya mada,mwenye hivi Vitabu softcopy vya Bob Woodward
1. Bush at War(2002)
2. Plan of Attack (2004)
3. State of Denial (2006)
4. The War Within: A Secret White House History (2006-2008)

Pia mwenye hivi Vitabu softcopy vya Chalmers Johnson
1. The Sorrows of Empire
2. Blowback: The Cost and Consequences of American Empire
3: Nemesis: The last Days of American Republic
 
Mwelekeo wa hoja za aina hii tunaufahamu baadhi yetu...lakini tuwathibitishieni jambo moja pamoja na propaganda za aina hii nchi hii itasonga mbele...na tumechelewa mno kumpata mtu wa aina hii...Halafu taasisi ambazo zinatekeleza matakwa ya 'nchi za magharibi' hazitufai...we need a strong leader, and here and now we have one..God bless him...God bless TZ...God bless Africa...
Kweli umekatwa kiwiliwili,eti tumechelewa. CCM ndio imetufikisha hapa tulipo na hatutaendelea hadi itakapokufa.
 
Mwelekeo wa hoja za aina hii tunaufahamu baadhi yetu...lakini tuwathibitishieni jambo moja pamoja na propaganda za aina hii nchi hii itasonga mbele...na tumechelewa mno kumpata mtu wa aina hii...Halafu taasisi ambazo zinatekeleza matakwa ya 'nchi za magharibi' hazitufai...we need a strong leader, and here and now we have one..God bless him...God bless TZ...God bless Africa...
Nakubali mmepata kiongozi imara je akitoka Huyo kiongozi simnarudi kule kule inatakiwa taasisi imara hata akija kiongozi wa hovyo nchi iendelee kama kawaida asiweze kufanya ujinga na hii kitu mwl nyerere alishaiona zaidi ya miaka 20 iliyopita alisema kwa katiba hii ya nchi hii tukipata kiongozi wa hovyo atakuwa dicteta lakini cha ajabu hakurekebisha.
 
Mmepata?? Inaonekana pengine siyo miongoni mwetu...Ni kweli zinatakiwa taasisi imara...lakini taasisi imara bila kiongozi thabiti ni sawa na zero...Kukiwa na taasisi imara lakini wakatokea majambazi wakashambulia kituo cha polisi au jeshi, na kuwachekea waliofanya hivyo kwa kisingizio cha haki za binadamu na demokrasia na pengine popularity then hapo taasisi zinakuwa hazina faida...Tunahitaji kiongozi strong atakayeweza kujenga taasisi imara...Udikteta ni nini???!! Upo wakati udikteta unahitajika...Machiavelli style...Hakluna nchi duniani kote iliyoweza kupiga maendeleo bila kuwepo kwa namna ya udikteta..hakuna...
 
Uwezo wako wakuelewa mdogo sana mkuu kama ww baba wa family wanao wamekula hasara maana hapa tunajadili umuhimu

Mimi sielewi unachopinga nini mkuu,Mimi nilichosema kama nchi itapata kiongozi anayetoa maamuzi mazuri hata nchi ikiwa na taasi dhaifu nchi itaenda hila kama kiongozi itapata kiongozi asiye na maamuzi mazuri akakuta taasisi nazo hazina nguvu nchi itayumba maana hizo taasisi zitakuwa zinatekeleza tu maagizo watashindwa kumshauri kuwa anakosea ndio mfano mmoja wapo ni kwa trump katoa maagizo rais Assad auawe washauri wakaona haina tija kwa taifa hawajatekeleza lakini taasisi zingekuwa dhaifu wangefuata order wangeuwa.lakini ww ndugu yangu unachoongea nje ya mada kabisaaa Mara majambazi wamevamia kituo cha polisi yaani ww kama baba wa family kwa uwezo huo wa akili wanao wamekula hasara.
 
Nakubali mmepata kiongozi imara je akitoka Huyo kiongozi simnarudi kule kule inatakiwa taasisi imara hata akija kiongozi wa hovyo nchi iendelee kama kawaida asiweze kufanya ujinga na hii kitu mwl nyerere alishaiona zaidi ya miaka 20 iliyopita alisema kwa katiba hii ya nchi hii tukipata kiongozi wa hovyo atakuwa dicteta lakini cha ajabu hakurekebisha.

Yaliyotokea majuzi kuhusiana na WH ya Bwana T na yanayoendelea sasa, is a vivid example of this.

Wenzetu walioendelea na wenye taasisi imara zinazofatiliwa vizuri, hawana hata machafuko kama yanayotokea Africa ama most 3rd world countries, kupinga Viongozi wa nchi.
 
Taasisi imara kwa kweli is the Key. Hata kama Uongozi wa nchi utayumba at some point, kama kuna Taasisi zinazofatiliwa ipasavyo Nchi haitayumba na kiongozi wake au kama itayumba ni kiasi kidogo sana.

Waandishi walio dondosha mabomu kuhusiana na Ikulu na Uongozo wa DT, wasingeweza kujilipua kama kungekuwa hakuna vyombo imara vya kuwalinda na kuwasimamia kuhusiana na maoni yao na wanayoona kwenye Uongozi huu.
Bob.Woodward aliyeandika kitabu kilichokuwa briefed hapa, kikisindikizwa na Op ed ya WH official turned "MOLE" wasingekuwa na nguvu ya kuwa wazi kama wasingelindwa na vyombo Imara vya Nchi, tofauti na Uongozi wa Nchi.

Opinion | I Am Part of the Resistance Inside the Trump Administration

In the developed World, they called it "an administrative coup d'etat"
Wame resist Uongozi wa nchi, but in one of the most civil ways possible. While knowing they're "PROTECTED" no matter what, thus, decided to put country first and air their Boss's dirty laundry in public.
 
Mwelekeo wa hoja za aina hii tunaufahamu baadhi yetu...lakini tuwathibitishieni jambo moja pamoja na propaganda za aina hii nchi hii itasonga mbele...na tumechelewa mno kumpata mtu wa aina hii...Halafu taasisi ambazo zinatekeleza matakwa ya 'nchi za magharibi' hazitufai...we need a strong leader, and here and now we have one..God bless him...God bless TZ...God bless Africa...
ndhani wagonjwa ni wengi nchini humu na afrika kiujumla.
 
Jiwe ndo mshauri wa washauri wake. He knows everything. Much-know. Unaanzaje kumshauri Jiwe? Keshakwambia analala na mafile kitandani tongo macho mpaka saa 9 alfajiri. Sijui yule mama faraja anaipata wapi?
yule ni pazia tu pale ikulu anakamilisha itifaki.
 
Uwezo wako wakuelewa mdogo sana mkuu kama ww baba wa family wanao wamekula hasara maana hapa tunajadili umuhimu

Mimi sielewi unachopinga nini mkuu,Mimi nilichosema kama nchi itapata kiongozi anayetoa maamuzi mazuri hata nchi ikiwa na taasi dhaifu nchi itaenda hila kama kiongozi itapata kiongozi asiye na maamuzi mazuri akakuta taasisi nazo hazina nguvu nchi itayumba maana hizo taasisi zitakuwa zinatekeleza tu maagizo watashindwa kumshauri kuwa anakosea ndio mfano mmoja wapo ni kwa trump katoa maagizo rais Assad auawe washauri wakaona haina tija kwa taifa hawajatekeleza lakini taasisi zingekuwa dhaifu wangefuata order wangeuwa.lakini ww ndugu yangu unachoongea nje ya mada kabisaaa Mara majambazi wamevamia kituo cha polisi yaani ww kama baba wa family kwa uwezo huo wa akili wanao wamekula hasara.
bora angezaliwa dona wangemla na matembele.
 
Rais anataka kuua washauri wanakataa,rais anataka kujitoa kwenye mikataba washauri wanazuia ukisikia taasisi imara kuliko kiongozi ndio hizi lakini kiongozi akiwa na nguvu kuliko taasisi yote yangefanyika hta kama ya kipuuzi.
Mkuu maneno yako yamenikumbusha mbali sana mpaka nalengwa na machozi, sijui kama siis tutafika huko kuwa na taasisi imara kama hizi.
 
Back
Top Bottom