Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma