Rais wa Rwanda arushiwa mawe Uingereza!

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Sina uhakika ilikuwa ni lini, lakini inaonekana video iliwekwa youtube tangu mwezi wa tano. Na wala sijui kama ilishaletwa hapa or not. Lakini kama haikuletwa basi pata burudani ya jinsi Wanyarwanda wanaoishi Uingereza wanavyomchukia Rais wao.
Sijaamini macho yangu kwamba Rais huyu anachukiwa kiasi hiki na watu wake walioko nje ya nchi. Wanaimba Kagame ni muuaji Kagame ni muuaji. Na bado anatuchokoza watanzania.

Source: http://jambotz8.blogspot.nl/2013/08/angalia-video-ya-rais-kagame-apopolewa.html
 
Last edited by a moderator:
Anatafuta gia na chanzo cha kutoka madarakani ndio maana anataka kutumia mgongo wa Tanzania.
 
nimeiona hii kwny blog moja
aisee kumbe hali si hali
Yes, nami nimeiona pia huko: Jambo Tz: ANGALIA VIDEO YA RAIS KAGAME APOPOLEWA KWA MAWE UINGEREZA
Huu ni ushahidi tosha kwamba wale wote wanaopiga kelele sana kwenye mitandao na hata kuandika upuuzi kila kuchapo kumtetea Kagame ni Watusi, na ni watu wanaofaidika na utawala wa Kagame. Ni dhahiri pia kwamba Wahutu nchini Rwanda hawana ruhusa ya kusema neno japo bado hawaridhiki na hali ya mambo nchini kwao. Hili nalo ni bomu lingine linalosubiri kulipuka.
 
Anatafuta gia na chanzo cha kutoka madarakani ndio maana anataka kutumia mgongo wa Tanzania.
Hii nayo ni hypothesis nzuri. Inawezekana anaona akitoka kwa utaratibu wa kawaida hatasurvive?
 
aisee, kumbe haya mambo yanaweza kutokea popote! Inanikumbusha ile ya Mbeya/Chunya wananchi walipopopoa msafara wa mkulu!
 
My take:
The Kagame-Tutsiphobia is wildly spreading in the great lake region. In this provided footage, I guess the Congolese were at fore-front helped by some Rwandese-Hutu.It is thus far high time for President Kagame to re-strategise his foreign diplomatic approaches for the sake of putting to an end these looming-misunderstandings with his neighboring countries DRC and now Tanzania.
 
Chezea kooooteeee! Ukianza kuichezea Tanzania ni kama unamtukana mama yako mzazi. Kitakachofuata kila mtu anajua..!
 
Wanajamii,
Tuangalie tunayoyaandika. Uadui hauna tija kwa yeyote.
Kurushiwa mayai kwa Kagame si ajabu kwani hata Rais wetu alirushiwa mawe huko Mbeya.
Tutafute jinsi ya kumaliza malumbano badala ya kuyakuza.
Anjo
 
I personally think there is a problem with Kagame's self representation internationally and locally which subjects him into unnecessary conflicts with his neighbours. It is high time now for him to first create an atmosphere of trust between him and his neighbors around the East and central African region, and prove beyond doubt that he is not involved in the ongoing crisis in Congo DR.
 
Sijaona hoja yako ya msingi hapa. Hivi wao wanavyoandika habari za mara Kikwete ni Mrundi, mara mama Salma Kikwete ni binamu yake Habyarimana, hawaongezi mgogoro? Katika kilichoandikwa hapa ni kipi ambacho umeona tumekitunga? Au hizo video hujaziona? Kikwete kurushiwa mawe Mbeya siyo sababu ya kufanya tusimseme Kagame kwa kurushiwa mawe au mayai ulaya. Hiyo ni context nyingine kabisa.
 
Chezea kooooteeee! Ukianza kuichezea Tanzania ni kama unamtukana mama yako mzazi. Kitakachofuata kila mtu anajua..!
Mkuu usisahau kwamba na rais wetu alishapopolewa mawe mbeya, hakuna cha ajabu hapa.
 
I personally think there is a problem with Kagame's self representation internationally and locally which subjects him into unnecessary conflicts with his neighbours. It is high time now for him to first create an atmosphere of trust between him and his neighbors around the East and central African region, and prove beyond doubt that he is not involved in the ongoing crisis in Congo DR.

You are absolutely right. Kagame should know that the ball is in his court, he should thus play safe lest could trigger the unrest situation in his own country and, to his neighboring countries Tanzania in particular which has been cherished with the long maintained peace and tranquility.
 
I personally think there is a problem with Kagame's self representation internationally and locally which subjects him into unnecessary conflicts with his neighbours. It is high time now for him to first create an atmosphere of trust between him and his neighbors around the East and central African region, and prove beyond doubt that he is not involved in the ongoing crisis in Congo DR.

..I think Kagame should step down.

..who is gonna trust Kagame, while he and his proxies have committed indiscriminate massacres against the ppl of DRC?

..IMHO, a technocrat like Dr.Kaberuka would do a much better job as the President of Rwanda.
 
Unamtayarishia Kagame hit-list?
 
Hizo bendera ni za Congo inawa zinafanana na Rwanda kwa kitu kimoja blue ,...bendera ya rwanda ina blue,green and yellow. So hao ni wa kongo wakilaani Kagame kwa kuuwa mamilioni ya wakongo.
 
Back
Top Bottom