Rais wa Nigeria Mohammad Buhari ameomba maridhiano

Viongozi waafrika wanamatatizo mengi sana
Kwa sababu rai zao wenyewe wana matatizo,unachokinda ndio unachokivuna hao viongozi wametoka kwenye jamii zetu.

Tukiwazungumziaga wazungu kwa mabaya au mazuri huwa tunahusisha wote viongozi wao hadi wananchi wao ila huku et wenye matatizo ni viongozi tu ila sie wananchi ndio hatuna tatizo.
 
Kwa sababu rai zao wenyewe wana matatizo,unachokinda ndio unachokivuna hao viongozi wametoka kwenye jamii zetu.

Tukiwazungumziaga wazungu kwa mabaya au mazuri huwa tunahusisha wote viongozi wao hadi wananchi wao ila huku et wenye matatizo ni viongozi tu ila sie wananchi ndio hatuna tatizo.
Kama ni hivi Africa si sehemu salama kuishi
 
Ccm wameanza kuchezea uchaguzi leo au jana?nini mmefanya kipindi chote hicho?

Hii miaka mitano yote mnalalamika udikteta ila hadi sasa hakuna mlichofanya na dikteta atarudi tena madarakani na hakuna mtakachofanya,mkipigwa mkwara tu na polisi mnaufyata halafu ndio mtaweza kufanya kama vidume wa Lagos huko?

Nyie mnasubiri hiyo 28 mkapige kura na baada ya hapo mnalamike humu mitandaoni kuwa mmeibiwa kura na kisha mnasahau maisha yanaendelea.
Sawa mkuu ,baada ya tar 28 siwezi kulalamika kama tumeibiwa kura maana haitokaa itokee huo wizi wa kura.
 
Keyboard warrior wanajipa moyo..........hao wamekichafua kweli hawajakichafua kwenye keyboard tu
 
Hakuna cha maridhiano inatakiwa ang'oke ,wanaijeria wakaze tu ,No more dictators in africa ,inatakiwa madikteta wote waondoke!! Tar 29 tunaanza na sisi kumuondoa dikteta uchwara.
Jaribu kutofautisha ya Buhari na ya nchini mwako
 
Jaribu kutofautisha ya Buhari na ya nchini mwako

Unajua unachoongea? Nchini mwangu ndio kuna nini? Huku ndio utopolo zaidi kuliko hata huko Nigeria ,wao uchumi wao upo juu kuliko sisi ,huku kwetu tu Sugu tu aliwapelekesha siku tatu NJE NTINTI NDANI NTINTI mpaka mkaomba Poo! huko ni mbeya haujaenda KANDA MAALUMU FITA NI FITA MURAAA ,BADO HAUJAENDA KWA CHALII YA R ,,,,,Huku hamna kitu zaidi ya kupiga watu risasi na kupiga mabomu zaidi ya hapo hawawezi kazi ,yaani kama kungekuwa kama US watu wanamiliki mijegejo kama nyungu mbona mngeenda kujifungia kambini..

Kama mnajiamini nendeni KITAYA mkanyofolewe UBONGO na AL SHABAAB ,ISIS ,AL QAEDA kutwa kuonea raia ambao hawana hata fimbo mkononi.
 
Back
Top Bottom