Rais wa nchi- member ndani ya JF

Unauhakika?

Hahahahahaaaa!
Kwanini Mkuu?

Duh! Inaelekea huyo mwenye ID hiyo [ifweero] anamwaga pumba simchezo!

huyu jamaa hata ujumbe wa nyumba kumi hafai
 
Mi najua humu yupo kwa jina na akaunti ya kuzuga kama siye wote tulivyofanya naye anapost na kuchangia sana tuu kwa uhuru
 
Usije ukashangaa ndiye mwenye ID ya Faiza Foxy!
 
Ya jk waneifanya siri kubwa, tena kubwa sana. Hiyo id ya pm pnder mwenyewe tumeijua juzi juzi tu hapa
 
Hii thread unaweza kujikuta unaangukia Ban ya" Name Calling"
 
Ingia Tweeter Uone ACCOUNT ya MANDELA mpk sa hv ina tweet
 
hapa inabidi itumike busara ya kukagua wisdom mbali mbali ktk majina
 
mr jk is very closer to you all Here and now he just laughing teh! teh! teh! trying finding me!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…