Rais wa nchi- member ndani ya JF

Inamaana huko Twita na Fesi Buku ni Slava Rweyemamu ndo ana post..

Anaweza kuwa ni Salva au mtu mwingine yoyote aliyepewa jukumu hilo...lakini kwa consultation ya Rais kwanza
 
mkuu najua kuwa sio yeye anaendika but as long as hiyo account imekuwa verified na ina authority yake tutaamini kila kinachokuwa posted kina baraka zake.

Mkuu binafsi huwa sipendi kiongozi aliye mnafiki...

Kama katika uhalisia wake hakuna lolote analofanya lenye kuonesha matumaini yoyote, sembuse kusoma ngonjera zake atazokuwa akituandikia hapa!!!
 
Muulizeni Kova alipotelea wapi, si alisema anajiunga na JF kufuatilia issues za hapa kitaani? Mama Ze Profeseri Tiba mwenyewe kachemka
 
Muulizeni Kova alipotelea wapi, si alisema anajiunga na JF kufuatilia issues za hapa kitaani? Mama Ze Profeseri Tiba mwenyewe kachemka

kasi ya mchezo ilimshinda
 
JK Alivyo mtundu hakosi kuchungulia humu. Mpangaji yoyote wa ikulu lazima awe na source nyingi za info. hata kama ni za kijinga ndio maana unaona nchi inakwenda au inasonga mbele.
 
unakumbuka uchaguz wa 2010 alivyokimbia mdahalo?:deadhorse::deadhorse::deadhorse:
 
hii ndio JF nimewahi kubishana kwa hoja na kutoleana maneno mazito kumbe mzazi wangu jamani daah ama kweli Jf nouma sana . LONG LIVE JF.
 
aah, ULICHOKOSEA NI KUMTAJA KAGAME WAKATI UNAZUNGUMZIA RAIS WETU KIKWETE, HAPO TU NDIPO ULIPOKOSEA KWA HIYO MIMI SINTOCHANGIA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…