Huko FB na Twitter usidhani kuwa aandikaye ni yeye...haitabadilika hata akiwa na ID hapa.
nahisi ni chanzo kizuri cha kujua upepo wa kisiasa na wanayoyafikiria wananchi. mtu kama mimi sina njia ya moja kwa moja ya kuongea na rais kwa urahisi
Nahisi yumo humu...user ID ndo hatujui
Mfuate twitternahisi ni chanzo kizuri cha kujua upepo wa kisiasa na wanayoyafikiria wananchi. mtu kama mimi sina njia ya moja kwa moja ya kuongea na rais kwa urahisi