Rais wa Namibia amshushua Balozi wa Ujerumani

Rais wa Namibia amshushua Balozi wa Ujerumani

Hi hawa wazungu wanatuonaje Africans. Ila ameshushuliwa vizuri.View attachment 2552602
Hawa ndio viongoz wanaotakiwa kwasasa Africa

Wanaoweza kuwaambia hao watu kuwa hii sio sawa

Hawa wazungu kila leo wanajiliza kinafiki kupinga ubaguzi huku wao wanabagua wengine

Sasa mambo ya wachina kuwa wengi Namibia inamuhusu nini huyo balozi wa Ujerumani.
 
Kweli watu wa Ulaya ndio wanakomalia suala la ukoloni wa Wachina. Wanajaribu kutuchonganisha. Hivi majuzi kama sikosei, waziri wa fedha wa marekani aliwachimbia sana jirani zetu kusini, kwa madai kuwa, china wanaenda kuwafilisi kwa madeni waliyo kuwa nao.

Msikilizeni vizuri Camara wa marekani akija.

Safi sana Rais wa Namibia.
 
Daaah nime repeat mara nyingi .......kweli Mr president kamshushua huku anaongea ukweli[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom