"Rais wa misiba"

Bora hajaenda angeweza kuropoka kwani ajali imeleta Serikali. Na usishangae kesho akaropoka.

Kama Wabunge ambao ni waadhirika wamsiba wameshindwa kupewa nafasi hata ya pole,halafu kesho wanasema Tanzania yetu sote.
Hili ni janga la uongozi
 
Reactions: BAK
Usijali ni ishara ya pumzi kukata

Watu ni wa ajabu sana aisee.

Kwa aliyenisoma vizuri ataona kabisa nimesema wazi kuwa naamini ingekuwa ni vyema kama yeye binafsi angeenda kwenye hafla ya kuaga hao maiti.

Lakini mijitu bado inakuja na habari sijui za ukabila...mara sijui za kutaka kuhalalisha matendo ya Magufuli kupitia matendo ya Kikwete...

Oh well...
 
Lakini Magu hata kipindi akiwa Waziri nilikuwa simuoni kwenye matukio ya misiba bora hata Mkapa anajitahidi kutokea tokea
 
Wabongo bana...mlisema ya Bukoba kwenye tetemeko na mwisho wa siku Rais mkamsikia yupo kule akitoa pole.leo mmeanza tena.kweni hauoni katuma muwakilishi tena makamu wake?na pole yake ameitoa,waTanzania kwa kulalama sijui tukoje
Alitoa pole au alienda kuwatukana? Mpaka Leo hii hawana hamu nae na sidhani kama atarudi kuwaona tena
 
Magufuli alishasema hataki habari mbaya. Ndiyo maana hata walivyouawa askari mkoawa Pwani hakwenda kutoa rambirambi.

Kamtuma Makamu wa Rais kaona inatosha.

Na mimi kwa kweli ningeona ana umuhimusana wa kwenda kama angekuwa ana uwezo wa kufufua wafu.

Kwa sasa cha muhimu zaidi ni kuangalia tunaepukana vipi na "ajali" hizi.
 

Ona sasa...mwingine huyu kimsingi anasema haoni ubaya wa Magufuli kutokwenda la kama angekuwa na uwezo wa kufufua watu.

Kwake cha muhimu zaidi ni kuangalia namna ya kuepusha ajali kama hiyo iliyotokea....

Lakini si ajabu nawe ukaitwa mkabila.....
 
Sasa nimeelewa kwa nini kwenye kutoa maoni ya kipima joto wanataka uchague 'Ndio, Hapana au Sijui' maana hawakosi watakaokubali, watakaokataa ama wengine wao hawana la kusema.
 
Mkuu msiba wakitaifa lakini si wabongo move ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…