Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,875
Reaction score
11,176
Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi.

Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa.

Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
 
Uhakika wa 100% ni wa kitu kilichokwishatokea tu.
 
Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi.

Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa.

Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
Chai
 
So what? Kwani , wewe utaimaliza? Mambo ya ngoswe muachie ngoswe
 
Namna ya kuondolewa. Naomba kuuliza
1. Changamoto z upumuaji?
2. Presha?
3. Cardiovascular sijui Nini Nini huko?
3. Kifo Cha utata na ripoti ya madaktari kupingana na uhalisia?
4. Jeshi kukalia KITI?
5. Yeye mwenyewe kutangaza kujiondoa?
 
Lolote linalowezekana lifanyike
 
Jamani si mulisema uchaguzi haupo? mbona mushakubali matokeo mapema
 
Back
Top Bottom