Rais wa Kosovo kaudhalilisha Uislamu

Rais wa Kosovo kaudhalilisha Uislamu

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,239
Rais wa Kosovo ambaye ni muislamu kaudhalilisha uislam kwa kutovaa ushungi ama hijab.

Hii haileti picha nzuri kwenye umma wa uislam na mafundisho ya kiislamu.

Ikumbukwe Kosovo, Bosnia na Albania ni nchi za kiislamu Ulaya lakini wanawake wao wengi hawavai ushungi na siyo vizuri kwenye mustakabal mzima wa imani kwa ujumla.

Angalau Uturuki sasa hivi wanawake wengi wanajitahidi kurudia kuvaa hijab.

IMG-20260203-WA0074 (1).jpg

adriz de mbusii
 
View attachment 3539172

adriz de mbusii
Uislamu ni imani sio manguo, magaidi huwa wanataka kila muislamu avae kama wao

USSR
 
UISLAMU ulivamia hayo maeneo kwa kuwateka watu na kuwalazimisha Tamaduni za kiarabu

Wazungu kwasasa hawataki ujinga
 
Iran kwenyewe wanawake wa huko hawataki hijabu/ushungi wanataka nywele zao zionekane kwa uzuri walioumbwa nao
 
Rais wa Kosovo ambaye ni muislamu kaudhalilisha uislam kwa kutovaa ushungi ama hijab.

Hii haileti picha nzuri kwenye umma wa uislam na mafundisho ya kiislamu.

Ikumbukwe Kosovo, Bosnia na Albania ni nchi za kiislamu Ulaya lakini wanawake wao wengi hawavai ushungi na siyo vizuri kwenye mustakabal mzima wa imani kwa ujumla.

Angalau Uturuki sasa hivi wanawake wengi wanajitahidi kurudia kuvaa hijab.

View attachment 3539172

adriz de mbusii
Ugonjwa wa akili ni mbaya sana.

Nashangaa kwa nini Magalatia yanahangaika kufuatilia mambo yasiowahusu ya Waislamu na kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu Uislamu hata Muislamu akijamba kwao ni Topic wanaweka kwenye mrengo wa chuki za kidini ?

Kama ushaukubali ukafiri ya nini uhangaike na mambo ya Waislamu yasiokuhusu ambayo hayana tija kwako ?

Dujeumsaeng Galatians Uislamu unawakereketa sana masaa 24 mnawaza mada kuhusu Uislamu, Mimi nina miaka karibia 10 Jf huwezi nikuta naacha mambo yangu ya msingi naanza kuanzisha mada ya kutafuta uchokozi na kukebehi dini za watu wengine ?

Lakini Dujeumsaeng Galatians wana ID kibao tena official kwa ajili ya kazi hiyo wanapokezana kuanzisha mada za kuchokoza Waislamu.
 
Ugonjwa wa akili ni mbaya sana.

Nashangaa kwa nini Magalatia yanahangaika kufuatilia mambo yasiowahusu ya Waislamu na kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu Uislamu hata Muislamu akijamba kwao ni Topic wanaweka kwenye mrengo wa chuki za kidini ?

Kama ushaukubali ukafiri ya nini uhangaike na mambo madoko yasiokuhusu ambayo hanatija kwako ?

Dujeumsaeng Galatians Uislamu unawakereketa sana masaa 24 mnawaza mada kuhusu Uislamu, Mimi nina miaka karibia 10 Jf huwezi nikuta naacha mambo yangu ya msingi naanza kuanzisha mada ya kutafuta uchokozi na kukebehi dini za watu wengine ?

Lakini Dujeumsaeng Galatians wana ID kibao tena official kwa ajili ya kazi hiyo wanapokezana kuanzisha mada za kuchokoza Waislamu.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃 shekhe tuliza munkari
 
UISLAMU ulivamia hayo maeneo kwa kuwateka watu na kuwalazimisha Tamaduni za kiarabu

Wazungu kwasasa hawataki ujinga
Haujui historia ni mweupe kichwani kuhusu historia .

Kasome Bosnia ilikuwaje wakawa Waislamu ?

Na dini ya kikirstu na Roman Empire iliwezaje kupenya katika maeneo mengi Duniani ?
 
Mmebakia nyinyi tu kuhadaika na tamaduni za watu!
Unajua tamaduni za asili za muafrika na wangapi wanafuata ?

Kuvaa suti , surali na shati ni tamaduni za muafrika ?

Kwenda kanisani nako ni tamaduni za muafrika ?

Hakuna aliyesalimika na kuchukua tamaduni za watu labda utoke nje ya mfumo wa Dunia .
 
Rais wa Kosovo ambaye ni muislamu kaudhalilisha uislam kwa kutovaa ushungi ama hijab.

Hii haileti picha nzuri kwenye umma wa uislam na mafundisho ya kiislamu.

Ikumbukwe Kosovo, Bosnia na Albania ni nchi za kiislamu Ulaya lakini wanawake wao wengi hawavai ushungi na siyo vizuri kwenye mustakabal mzima wa imani kwa ujumla.

Angalau Uturuki sasa hivi wanawake wengi wanajitahidi kurudia kuvaa hijab.

View attachment 3539172

adriz de mbusii
Ondoa mada yako ya kijinga hapa. Nyie waisalmu wa Buza na Nanjilinji mnajifanya mnaujuwa Uislamu kuliko hata Waarabu wenyewe wa Mecca

Nimetembea Malysia, Indonesia na Turkey wala sijaona huu ujinga wenu. Kwa mfano sigida kama ya Masoud Kipanya, hakuna Mturuki au Malysia wenye sigida
Screenshot_20260204_193403_Google.jpg
Ni ushamba wenu tu
 
Haujui historia ni mweupe kichwani kuhusu historia .

Kasome Bosnia ilikuwaje wakawa Waislamu ?

Na dini ya kikirstu na Roman Empire iliwezaje kupenya katika maeneo mengi Duniani ?
Mzee tujadili hapa ,na Mimi nataka kujifunza ,elimu Haina mwisho

Maeneo mengi , Uislamu ulivamia hasa baada ya Muhammad kufariki mwaka 632-634AD

Ukristo mfano pale Syria,Lebanon, Turkey uliingia bila kuvamia wala jihadi

Ndio maana mabaki na tamaduni zipo Hadi Leo

Hata Ethiopia hapa Ukristo umeingia bila jihadi wala ukoroni

Nenda uhabeshi huko mitume wa Yesu walipeleka injili bila jihadi wala kuvamia

Njoo kwa uislamu mfano hapo Syria mwaka 634AD umeingia kwa kuvamia , Yerusalemu hivo hivo, Lebanon hivo hivo

Mimi historia ya hizi dini nimezisoma kwa kiwango chake ,nakubali kukosolewa maana naongeza maarifa
Hapo Bosnia uislamu umeingia kwa kuvamia ,kama unabisha TUFANYE mjadala wa kielimu

Mwaka 1463, Dola ya Ottoman (Waturuki Waislamu) ilivamia na kuiteka Bosnia.

Bosnia ikawekwa chini ya utawala wa Kiislamu wa Ottoman kwa zaidi ya miaka 400.

Hii ni historia ipo hivo,kama ni tofauti niambie

Uislamu haukuwepo kabla ya Ottoman,

Bosnia ilikuwa na Wakristo hasa Wakatoliki na Waorthodoksi

Pia kulikuwa na dhehebu la zaman lijulikanalo kama Bosnian Church

Hakukuwa na Uislamu Bosnia kabla ya utawala wa Ottoman.
 
Ondoa mada yako ya kijinga hapa. Nyie waisalmu wa Buza na Nanjilinji mnajifanya mnaujuwa Uislamu kuliko hata Waarabu wenyewe wa Mecca

Nimetembea Malysia, Indonesia na Turkey wala sijaona huu ujinga wenu. Kwa mfano sigida kama ya Masoud Kipanya, hakuna Mturuki au Malysia wenye sigida
View attachment 3539215 Ni ushamba wenu tu
Pilipili usiyoila inakuwasha nini ?

Hauoni kuwa ni ugonjwa na dalili mbaya kwa mtoto wa Kiume kufuatilia na kuchukia mambo ya mtu binafsi ambayo hayana tija kwako ?

Kwa nini unataka wote wawe sawa si ugonjwa huo ?
 
Halafu mods kama hawaoni
Hawa Extremist Galatians Dujeumsaeng wamechangia Jf kupoteza hadhi yake tokea wafanye uvamizi kila jukwaa lilipoteza heshima .

Maana hata mada ya sport utasikia kelele kuhusu Kobaz na kebehi zao kwa Uislamu . Hawakuishia kuharibu jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko kwa kujaza mada zao bali ikawa hata mada za kawaida zilikosa mawazo chanya kwa tabia Yao ya udini . Sasa wenye akili hawawezi kujadili katika mazingira kama hayo badala yake Jf imebaki makapi mpaka leo

Mimi niliwahi kuleta nyuzi zaidi ya Moja kuonya hatari ya jambo hilo na baadhi ya mods kuziacha kwa makusudi hizo mada huku mada za Waislamu zenye mrengo sawa zikifutwa au kutupwa jukwaa la dini , mods wakafanyia kazi Kisha wakapuuzia matokeo yake Jf is no longer Home of the great thinkers.
 
Mimi niliwahi kuleta nyuzi zaidi ya Moja kuonya hatari ya jambo hilo na baadhi ya mods kuziacha kwa makusudi hizo mada huku mada za Waislamu zenye mrengo sawa zikifutwa au kutupwa jukwaa la dini , mods wakafanyia kazi
Hawa Extremist Galatians Dujeumsaeng wamechangia Jf kupoteza hadhi yake tokea wafanye uvamizi kila jukwaa lilipoteza heshima .

Maana hata mada ya sport utasikia kelele kuhusu Kobaz na kebehi zao kwa Uislamu . Hawakuishia kuharibu jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko kwa kujaza mada zao bali ikawa hata mada za kawaida zilikosa mawazo chanya kwa tabia Yao ya udini . Sasa wenye akili hawawezi kujadili katika mazingira kama hayo badala yake Jf imebaki makapi mpaka leo

Mimi niliwahi kuleta nyuzi zaidi ya Moja kuonya hatari ya jambo hilo na baadhi ya mods kuziacha kwa makusudi hizo mada huku mada za Waislamu zenye mrengo sawa zikifutwa au kutupwa jukwaa la dini , mods wakafanyia kazi Kisha wakapuuzia matokeo yake Jf is no longer Home of the great thinkers.
Kondoo n
Kisha wakapuuzia matokeo yake Jf is no longer Home of the great thinkerndio
 
Back
Top Bottom