Wakongwe wa JF wapo wapi?
Nimekuelewa mkuu.
Hahahah...mbavu sina!!ha ha ha
ukiwa rahisi naomba wafuatao wawe maids wangu
mwanakijiji-shoe shiner
RR-designer wa nguo
lizzy-hair style
The finest-viwanja vya kujirusha
gaijin- mtunga maswali hasa napokutana na waandishi
ashadii-risala
king'ast-mshauri wa haramu zote
The Boss- mlinzi wa mwanamke wa kwanza
Ndetichia unafaa sana kuwa waziri wa michezo ya vikongwe. Lakini unaonekana kupenda pesa sana!
huyo anafaa wizara ya maji taka.
Hahahah...mbavu sina!!
Hao umeshawapata tayari!!
mi sipo,huo sio uteuzi wangu
Keshapita tayari..anza kulog off mapema!!wanaJF wanamkubali?
wanaJF wanamkubali?
Duh! Mzee inaonekana wamo kwenye mashairi...
Nimeipenda...