M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,253 Reaction score 14,149 Apr 17, 2026 #1 Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,449 Reaction score 283,755 Apr 17, 2026 #2 Viongozi wamepukutishwa yeye anatoa statement
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,253 Reaction score 14,149 Apr 17, 2026 Thread starter #3 Erythrocyte said: Viongozi wamepukutishwa yeye anatoa statement Click to expand... Lissu yupo jela mwaka sasa lkn Heche anatamba Chadema inaogopewa na ccm. Na wewe unapiga makofi
Erythrocyte said: Viongozi wamepukutishwa yeye anatoa statement Click to expand... Lissu yupo jela mwaka sasa lkn Heche anatamba Chadema inaogopewa na ccm. Na wewe unapiga makofi
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 4,287 Reaction score 9,162 Apr 17, 2026 #4 Malaria 2 said: Lissu yupo jela mwaka sasa lkn Heche anatamba Chadema inaogopewa na ccm. Na wewe unapiga makofi Click to expand... maana yako?
Malaria 2 said: Lissu yupo jela mwaka sasa lkn Heche anatamba Chadema inaogopewa na ccm. Na wewe unapiga makofi Click to expand... maana yako?
Kijakazi Platinum Member Joined Jun 26, 2007 Posts 10,416 Reaction score 17,731 Apr 17, 2026 #5 angalau yeye (raisi wa irani) havai hijab kama ayatolas, uelekeo mzuri ...