Rais wa dunia na speech ya copy and paste.

Mambaku

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
466
226
Ukifuatilia kiundani utaona kuna asilimia kubwa ya speech ya rais wa dunia kakopi na kupesiti.
IMG-20170122-WA0001.jpg
IMG-20170122-WA0000.jpg

Hapa sijui bwana huyu hajui kuwa copy and paste unaonekana huna jipya. Sijui wadau mnalionaje hilo.
 
Chochote wanadamu anachofanya au kusema kilishasemwa au kufaywa na watu wengine aidha unawajua au usiwajue bt kilishafanywa au kusemwa so we are all plagiarism coz thre is nothing new under the sun
 
Asilimia kubwa ya sisi binadamu mambo yetu mengi tuna copy and paste... Muhimu ni kuwa mpole pale utakapobainika umefanya hivyo... Hakuna kipya chini ya jua...
 
Kwwnini unamtukana mwenzako.. huoni wewe ndio huna akili maana kama kuna kitu hajui au amekosea ungekuja ukampinga kwa hoja na kumwambia ukweli ni upi? hivi tukoje watanzania?
Kuna mtu anaye onesha dalili za kusaidiwa lakini wengine kabla hujamsaidia yeye anajua
 
Waliomwandalia ndio wame copy na paste,pia hata waliowahi muandalia mke wake wamewahi copy na paste speech ya Michell Obama.
 
Au hajui watu wake (Americans) wanakosa nini na wanahitaji nini? Au umezoea hz speech za bongo zenye kutaja watumishi hewa na neno ufisadi bila vitendo?
 
Nahisi Dunia inaishiwa na viongozi mahiri, kwanza ilikuwa Ghana kanakili hotuba za kina Bush na Clinton,sasa Trump anakopi na kunakili kwenye filamu.Kwetu huyu mkuu anatoa ya rohoni,watu hawatamani ayaseme tena
 
Back
Top Bottom