ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Napita..Ki kwaokwao hakuna shida ila kikwetukwetu duh!!!pata picha mama samia awe hivyo koko bichi.
Ki kwaokwao hakuna shida ila kikwetukwetu duh!!!pata picha mama samia awe hivyo koko bichi.


Mmmh! Unataka Na wetu aige?
ndio yeye anaitwa Kolinda Grabar-KitarovićHuyo binti anafananishwa na Rais wa Croatia, lakini sio Rais mwenyewe.
huyo hapo yuko na mumeweHuyo binti anafananishwa na Rais wa Croatia, lakini sio Rais mwenyewe.