tehteh we umeambiwa utakua msimamizi sasa tena umegeuka mgombea:target:
Vimetumika vigezo gani kuwaselect wagombea?
Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa wana Chit chat.
Ibala ya 6, Kifungu cha 1, Jamuhuri hii lazima iwe na Rais, lakini hakuwepo kwa muda sasa.
Ni muhimu sasa tufanye uchaguzi. Wagombea ni Arusha one, Erickb52, @TANMO na Boflo.
Wasimamizi ni @Judgement, Kongosho, Mamndenyi na Preta. Naandaa daftari la wapigakula.
Tuwajadili wagombea kwanza.