Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 541
- 175
Rais wa Brazil Lulada Silva amepongeza maandamano yanayoendeleanchini kwake na kusema wananchi kufanya hivyo wanaimarisha utawala bora nademokrasia wa nchi pamoja na serikali yake na kuielekeza serikali katika njiasahihi na serikali kujua nini kinawasibu wananchi
Sourceeutsche Welle Radio
Jee hili linatoa somo gani kwa viongozi wetu hapa wanapokandiamaandamano ya wananchi huku wakiwa sheria inayoongoza matukio kama haya ni waowenyewe wameidhinisha,,,,,
Sourceeutsche Welle Radio
Jee hili linatoa somo gani kwa viongozi wetu hapa wanapokandiamaandamano ya wananchi huku wakiwa sheria inayoongoza matukio kama haya ni waowenyewe wameidhinisha,,,,,