Rais wa Belarus: Sitoki madarakani labda mniue

Ukimuangalia akiwa anaongea unaona kabisa anatetemeka kwa sababu anajua kabisa kabakiza siku chache za kuwa madarakani.

Nchi imesimama hakuna kazi yoyote ile inayoendelea watu wapo mitaani na mwisho wa mwezi ulifika wanajeshi,porisi wanataka mishahara yao.hapo ndipo balaa inapoanza maana jamaa uwa awakubali kabisa kula nyasi.
juzi television ya taifa ilikuwa empty hakuna hata mtu kwenye chumba cha kurushia matangazo, wote wapo bize na maandamano
 
Huyo ni mwana kulitafuta nadhani ana fikiria ataweza vipi kuanza maisha mapya bila ya kuwa na power aliyo izoea .. But soon atakipata anacho kitaka siasa ilivyokuwa Haina maana pindi inapo mchachia muhusika ..soon ataitwa marehemu
 
Natamani na sisi Watanzania siku moja tungeingia barabarani kwa umoja wetu kuiondoa CCM kupitia nguvu ya umma huku Polisi wetu na vyombo vingine vya usalama vikijiweka kando, na zaidi vikitupa ulinzi wa kutosha wakati wa safari yetu ya kumuondoa Mkoloni Mweusi Nchini mwetu.
Eeiiimen
 
Ukimuangalia akiwa anaongea unaona kabisa anatetemeka kwa sababu anajua kabisa kabakiza siku chache za kuwa madarakani.

Nchi imesimama hakuna kazi yoyote ile inayoendelea watu wapo mitaani na mwisho wa mwezi ulifika wanajeshi,porisi wanataka mishahara yao.hapo ndipo balaa inapoanza maana jamaa uwa awakubali kabisa kula nyasi.
juzi television ya taifa ilikuwa empty hakuna hata mtu kwenye chumba cha kurushia matangazo, wote wapo bize na maandamano
Dduuhhh
 
Ukistaajabu ya Magufuli utayaona ya Lukashenko
 
Wababe wa dunia wamekuwa wengi ..akijaribu kwenda tu utasikia Russia nayeye anatia maguu
Russia na Belarus ni washirika siku nyingi sana,hata mazoezi makubwa ya kijeshi huwa wanafanya pamoja,Ni moja kati ya jicho la Russia kuitizama NATO.Haya mambo warusi wanayafahamu virusi tu,Ila tu wananchi wakichioka hakuna kitu wanaweza fanya..
 
Human Being Is self inherently and this is not according to Plato but it has every thing to do with human nature which are motivated by self interest and selfishness..

As the matter of fact ;The president of Belarus proved beyond doubt he is a human we can't blame him in anyway so those who criticise him under the umbrella of democracy must have their motives behind be it politically or economically....
 
Yeye anae kataa kutoka madarakani ana motive gani nyuma yake?.
 
Back
Top Bottom