tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.
Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini utaratibu wa kutengua/kubadilisha sheria unapaswa kuzingatiwa.
Source: Jambo Leo

Kama kweli sheria za nchi zinavunjwa majukwaani, basi SLAA ni bingwa wa kufanya hivyo. Mara akaidi kutii amri vyombo vya dola, juzi nimesikia tena anabwatuka kuwa hakuna sheria inayowaruhusu CCM kwenda mahakamani kuhusiana na ubunge wa Igunga, Yeye ndiye mahakama?huyu ni wa kumsamehe tu...ushiriikiano wa kichwa na ulimi haupo....Watakaomfuatisha wajuwe miaka ijAyo watavunjiwa nyumba zao
Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.
Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini utaratibu wa kutengua/kubadilisha sheria unapaswa kuzingatiwa.
Source: Jambo Leo
Kama kweli sheria za nchi zinavunjwa majukwaani, basi SLAA ni bingwa wa kufanya hivyo. Mara akaidi kutii amri vyombo vya dola, juzi nimesikia tena anabwatuka kuwa hakuna sheria inayowaruhusu CCM kwenda mahakamani kuhusiana na ubunge wa Igunga, Yeye ndiye mahakama?
Kilichosemwa mleta mada hujakielewa au unakileta nje ya "context".