Rais umeruhusu Pinda, Mahanga na Masaburi kuhatarisha amani?

Hii ni moja ya indicators of failing state, kutoapisha viongozi waliochaguliwa na wananchi ni kuwanyima wananchi haki ya kutumikiwa na watu wanaowaamini.

Kama chama tawala kinahusika na hili basi moja kwa moja kimepoteza umadhubuti wake na ndipo tunapoipata dhana ya Baba wa Taifa ktk speech yake kuwa "...bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba".
Kutowaapicha viongozi waliochaguliwa na watanzania ni kuwayumbisha watanzania.
Hilo linaonesha wazi kuwa CCM wanatuyumbisha. Hebu ifike wakati tuseme tumechoka kuvumilia na sasa hatuwapi tena dhamana ya kutuongoza kwa sababu tunapuuzwa.
 
Nina imani wananchi wa #migombani segerea hawatakubaki huu upuuzi

Tusimame pamoja na wananchi, kila mtanzania mwenye kupenda haki asimame na wana-segerea apinge hii dhuluma
 
Hakika unachekesha sana.myaani Rais ahangaike na masuala ya uchaguzi wa vitongoji? Hahahahahaaaaaaa!
Wewe ndio unachekesha kumpiga mzee warioba anamiaka zaidi ya bibi yako.na famu yake ndio hiyo inakutafuna sasa.

swissme
 
Kaka Chabruma, watakemea vipi tabia hiyo ilhali wanaofanya fujo wanatumwa na viongozi wakuu wa chadema? Chama kikiongozwa na DJ Zero Mzinifu usitegemee busara kutamalaki

Mzinifu kiaje au tayari kakutembezea pipe maana huwezi shuhudia bila kupelkupigwa pipe naye? Acha umalaya wewe.
 
CHADEMA mlipaswa pia kukemea ile tabia ya vijana wenu ya kuwapiga, kuwaua na kuwazuia wasiapishwe wenyeviti walioshinda kwa tiketi ya CCM
Hapo mwanaume umechangia Leo eti!unajua SAA nyingine unaweza kua shoga kwa ujinga wako.chadema wanadhurumiwa wewe unaongea upuuzi
 
Fujo yetu ni kudai haki mfano ni hapo kwenye thread wameshida chadema lakini hamtaki waapishwe tukinukisha mtasema chadema watu wa fujo bila kuangalia chanzo..
Waache tu jamaa kwa matusi huwawezi c uliwasikia walivyomwita mheshimiwa TUMBILI kisa tu alisema ukweli.
 
Mhh hii nayo kali

Kumbe viongozi waliochugiliwa na wananchi wametoswa kuapishwa na wakurugenzi kisa eti mahanga na pinda wanaishi kwenye mitaa hiyo, daah hii made only in Tanzania

maCCM hawana hofu ya Mungu japo kidogo. Ila laana haitawaacha

dalili zote za kufa CCM ndio hizi, their days are numbered
 
Wasichojua CCM ni kwamba mambo yaliyofanyika Monduli, Kigogo Fresh B anakoishi Pinda na yanayoendelea Segerea, Mtaa wa Migombani wanakoishi Masaburi na Mahanga (tunajua kuna uvundo wa ufisadi wa kutisha, hawataki zulia lifunuliwe), yaliyotokea kwa Membe, Januari Makamba na Wassira ni kielelezo cha wazi kuwa CCM imechokwa. Wagombea wanaojipigia upatu kwenye urais, hawana hata uwezo wa kushinda mtaani, kijijini au kitongojini.

CCM inasubiri kusaidiwa kusukumwa kaburini.
 
Hakika unachekesha sana.myaani Rais ahangaike na masuala ya uchaguzi wa vitongoji? Hahahahahaaaaaaa!
Kwa maana nyingine rais haguswi na vurugu na vifo vinavyotokea?

watu kama nyie ndio mnafanya hata yale mazuri machache ya Kikwete yafunikwe kwa ushauri na mawazo mabovu kama haya.
 
Kuna maeneo CCM mmefanya hila kwa makusudi uchaguzi usifanyike,mkidai mmepita hela kupingwa.sasa hata tulip shinda inakua shida kuapishwa!kwa hili iwe pinda,mkeo na mahanga naapa mnaenda ishia pabaya Mb wa nyie.
 
Wasichojua CCM ni kwamba mambo yaliyofanyika Monduli, Kigogo Fresh B anakoishi Pinda na yanayoendelea Segerea, Mtaa wa Migombani wanakoishi Masaburi na Mahanga (tunajua kuna uvundo wa ufisadi wa kutisha, hawataki zulia lifunuliwe), yaliyotokea kwa Membe, Januari Makamba na Wassira ni kielelezo cha wazi kuwa CCM imechokwa. Wagombea wanaojipigia upatu kwenye urais, hawana hata uwezo wa kushinda mtaani, kijijini au kitongojini.

CCM inasubiri kusaidiwa kusukumwa kaburini.
Hivi kwenye uchaguzi huu wa serikali za Mitaa CHADEMA mmeshinda kwa asilimia ngapi vile?
 
Hakika unachekesha sana.myaani Rais ahangaike na masuala ya uchaguzi wa vitongoji? Hahahahahaaaaaaa!

Una maana gani? yeye haya muhusu yeye ndiye aliyeapa mbele yetu uwanja wa uhuru kuilinda katiba ya jamhuri.Mahanga na Pinda hatukuwaona wanaapa na wala hatukuwachagua wananchi wa nchi nzima.MSICHEZEE AMANI,HIVI WEWE UNAYEUNGA MKONO HAKI YETU UNAITAKIA NCHI HII NINI?
 
Back
Top Bottom