sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Rais najua ipo siku utakuja morogoro,kwa ziara ya kikazi siku ukifikA hapa morogoro basi kwanza anzia wilaya ya kilombero nenda kwa basi kutoka moro mjini mpaka ifakara,kuna zaidi ya vyama 50,vya ushirika nchini mkuu rais vyama hivi vingi vmeundwa na wakulimA,vilikuwa vnamiliki mali lukuki,sasa havina kitu ila kibaya zaidi vyama hivi vya ushirika,vmepewa fedha na mabenki ya s erikali na mabenki hayo yanaelekea kutaifisha mali hizo,vyama hivi vina wanasiasa wamrvitafuna kwa kutumia mikopo hisiyolipika balaaa siku ukija moro pitia vyama hivi