nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?huku kwetu tunafuturisha
Wanasiasa akili zao hua zinawaza siasa tu, hata katika mambo ya imani lazima waingize siasa ili mradi watimize agenda zao.Kwa Mwanasiasa Ni Poa Sana Kuingia Kwenye Ibada za dini yeyote hata kwenye ibada za sanamu na kishetani, maana ni kiada zao na ndiko waliko wapiga kura wao pia
Sala za Wakrsto ni kuimba na kucheza ngoma, kwa msingo huo haiwezekani.nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
Mbona iliwezekana juzi, kwenye hafla ya kuiombea taifa letu la Kenya. Kila mwaka huwa kuna National Prayer Breakfast na maombi, mahubiri ya kikristo, kiislamu na dini za jadi yote huwa yanafanywa kwa pamoja.Sala za Wakrsto ni kuimba na kucheza ngoma, kwa msingo huo haiwezekani.
Inawezekana, forward na uchambue chambue hiyo video hapo juu uone wakenya, wakristo kwa waisilamu, wakisali pamoja na kusomewa Qur'ani na Bibilia pia.nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
NimeshangaaHivi Kenya eid siyo public Holiday? Kama ni hivyo hamuwatendei haki waislam wa Kenya
Eid zote? Mi Si muislam lakini Si kuna idd ul fitr, adha na hajj?Hivi Kenya eid siyo public Holiday? Kama ni hivyo hamuwatendei haki waislam wa Kenya
Eid zote iwe public holiday banaEid zote? Mi Si muislam lakini Si kuna idd ul fitr, adha na hajj?
Kenya idd ul fitr ndo public holiday, kinachoongelewa na rais ni kufanya adha au hajj pia iwe ni holiday , Yani Jana ni holiday na Kesho pia ni holiday. Kama vile wakristo wako na kama siku tatu za pasaka ya Easter
Alafu ikiangukia weekend pia Monday ifwatayo iwe siku ya kupumzikaEid zote iwe public holiday bana
Hiyo umesema wewe!Alafu ikiangukia weekend pia Monday ifwatayo iwe siku ya kupumzika
Ameelekezwa kanuni zote, na ni njia ya kufanya 'recruitment'nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?