Rais Uhuru Kenyatta aingia msikiti na kusali, asema anajifunza kusema neno TAKBIR

Kwa Mwanasiasa Ni Poa Sana Kuingia Kwenye Ibada za dini yeyote hata kwenye ibada za sanamu na kishetani, maana ni kiada zao na ndiko waliko wapiga kura wao pia
Wanasiasa akili zao hua zinawaza siasa tu, hata katika mambo ya imani lazima waingize siasa ili mradi watimize agenda zao.
Yaani ni watu waliojaa hadaa, ulaghai, uzandiki na usaliti moyoni mwao.
 
nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
Sala za Wakrsto ni kuimba na kucheza ngoma, kwa msingo huo haiwezekani.
 
Mbona iliwezekana juzi, kwenye hafla ya kuiombea taifa letu la Kenya. Kila mwaka huwa kuna National Prayer Breakfast na maombi, mahubiri ya kikristo, kiislamu na dini za jadi yote huwa yanafanywa kwa pamoja.
nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
Inawezekana, forward na uchambue chambue hiyo video hapo juu uone wakenya, wakristo kwa waisilamu, wakisali pamoja na kusomewa Qur'ani na Bibilia pia.
 
Hivi Kenya eid siyo public Holiday? Kama ni hivyo hamuwatendei haki waislam wa Kenya
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Uhuru ni mkristo na kaswali na Waislamu. Kumbuka Kuna waislamu wakali Sana Kenya. Na kaswali
nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
 
Hivi Kenya eid siyo public Holiday? Kama ni hivyo hamuwatendei haki waislam wa Kenya
Eid zote? Mi Si muislam lakini Si kuna idd ul fitr, adha na hajj?
Kenya idd ul fitr ndo public holiday, kinachoongelewa na rais ni kufanya adha au hajj pia iwe ni holiday , Yani Jana ni holiday na Kesho pia ni holiday. Kama vile wakristo wako na kama siku tatu za pasaka ya Easter
 
Eid zote iwe public holiday bana
 
nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
Ameelekezwa kanuni zote, na ni njia ya kufanya 'recruitment'
Kuna athari kubwa moyoni mwake kwa alichokifanya. Bi idhni'Allah anaweza kujikuta 'yumo'
Wapo walioanzia kwa kuwa 'critics' na baadaye wakajikuta wameingia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom