Rais Uhuru Kenyatta aingia msikiti na kusali, asema anajifunza kusema neno TAKBIR

nisaidieni kwa mkristo inaruhusiwa kuingia msikitini na kuswali? je haiwezekani wakristo na waislam wakafanya swala ya pamoja mfano kuliombea taifa?
...swala.ya pamoja kwa utaratibu gani !?
 
Mbona iliwezekana juzi, kwenye hafla ya kuiombea taifa letu la Kenya. Kila mwaka huwa kuna National Prayer Breakfast na maombi, mahubiri ya kikristo, kiislamu na dini za jadi yote huwa yanafanywa kwa pamoja. Inawezekana, forward na uchambue chambue hiyo video hapo juu uone wakenya, wakristo kwa waisilamu, wakisali pamoja na kusomewa Qur'ani na Bibilia pia.
Kuna kuomba (duwa) na kuswali, ni vitu viwili tofauti ! Waislaam na wakiristo hawezi kuswali pamoja !
 
Back
Top Bottom