Rais Shein autangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji

Naona Maandalizi ya Kumtengenezea Kisiwa Rais ajaye Waziri Hussein Mwinyi yameshaanza hivyo na Yeye akiapishwa tu mwakani November aweze Kuendelea pale waliposhia Watangulizi wake.


Nasikia eti pia kuna Mbarawa kapendekezwa
 
Daaah anatakiwa aitangaze zanzibar kuwa jiji, moja ya jiji la kale la Tanzania, Zanzibar sio nchi, Tanzania iwe na majimbo mawili Tanganyika na zanzibar terms watajua wenyewe
 
Zanzibar was already a city state... Was there a need to renounce its old status?
All in all... Hongera kwa Z'bar for a new status, The prosperity of Z'bar means the prosperity for Tz...
 
Mkuu, JPM na Shein walikuwa wote juzi tu April 26 halafu unataka na leo wasafiri wote kwenda SA, umesahau kuwa kule mtu anaenda kwa mwaliko sio kwa mihemko kama unavyotaka.
Halafu kuhusu swali la kwanza kwamba mbona nchi inakuwa jiji ni kwamba Zanzibar imegawanyika mara mbili (Unguja na Pemba) na mji wa Zanzibar (now jiji) upo Unguja.Nadhani umewahi kusikia kuhusu jiji la Djibout linalopatikana nchini Djibout?

Ongezea hapo, Mji mkuu Kuwaiti ni Kuwaiti City, Mexico=Mexico City, Guatamala=Guatamala City, Taiwan=Taipei
 
Rais wa Zanzibar Dr Shein kwa mujibu wa sheria na mamlaka aliyonayo ameutangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji.

Hivyo kuanzia sasa mji wa Zanzibar unajulikana kama Zanzibar City.

Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!


Tunasubiri JIWE nalo litangaze , Chato kuwa jiji, Anakamilisha Chato International Airport
 
Rais wa Zanzibar Dr Shein kwa mujibu wa sheria na mamlaka aliyonayo ameutangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji.

Hivyo kuanzia sasa mji wa Zanzibar unajulikana kama Zanzibar City.

Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Tokea Mkuu wa nchi aliporuhusu kuvuta bange ukiwa umejificha tutashuhudia vioja
 
Zanzibar iko Unguja au Unguja iko Zanzibar?
Majibu ya uhakika tafadhali!
Mkoa wa Unguja uko Zanzibar ila mji wa Zanzibar uko ndani ya mkoa wa Unguja.
Kwa hiyo mtu akiwa kule Pemba atakuwa ndani ya nchi ya Zanzibar lakini hatakuwa ndani ya Zanzibar town.Ni sawa na mtu aliyeko Meru anahesabika yupo ndani ya mkoa wa Arusha lakini hawezi kusema nipo Arusha city.
 
Back
Top Bottom