Rais Shein autangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji

Mbona nchi imekuwa jiji tena? Alafu she Ini hapendi kolabo na jiwe kabisa hawana ukaribu mf. walipaswa kwenda wote south ajabu kaenda na faza mkwere... Sema mtu muungwana hawezi ivana na mpenda ubabe. Tunahitaji watuoneshe umoja na ushirikiano
 
Mkuu, JPM na Shein walikuwa wote juzi tu April 26 halafu unataka na leo wasafiri wote kwenda SA, umesahau kuwa kule mtu anaenda kwa mwaliko sio kwa mihemko kama unavyotaka.
Halafu kuhusu swali la kwanza kwamba mbona nchi inakuwa jiji ni kwamba Zanzibar imegawanyika mara mbili (Unguja na Pemba) na mji wa Zanzibar (now jiji) upo Unguja.Nadhani umewahi kusikia kuhusu jiji la Djibout linalopatikana nchini Djibout?
 
Zanzibar iko Unguja au Unguja iko Zanzibar?

Majibu ya uhakika tafadhali!
 
Zanzibar City is a crap. Hivi kuna mji unaitwa Zanzibar mpaka iitwe City. Kwa hiyo nikiwa Pemba niko ndani ya Zanzibar City au wamemaanisha Unguja ndio City.

Confusion.
 
Mkuu, JPM na Shein walikuwa wote juzi tu April 26 halafu unataka na leo wasafiri wote kwenda SA, umesahau kuwa kule mtu anaenda kwa mwaliko sio kwa mihemko kama unavyotaka.
Halafu kuhusu swali la kwanza kwamba mbona nchi inakuwa jiji ni kwamba Zanzibar imegawanyika mara mbili (Unguja na Pemba) na mji wa Zanzibar (now jiji) upo Unguja.Nadhani umewahi kusikia kuhusu jiji la Djibout linalopatikana nchini Djibout?
Umejibu vyema.
 
Back
Top Bottom