Rais Shein autangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji

Kwahiyo Shein amevunja mzizi wa Fitina wa Zanzibar ni nchi au sio Nchi... Jibu Zanzibar ni Jiji tu... I hope Wazenji wataacha mijadala....

Navyojua Kuna visiwa viwili Unguja na Pemba ndivyo vinavyounda neno Zanzibar so Shein angesema Unguja town ndio City Unguja Magharibi n.k sio kuihusisha na Pemba
 
Kwani Shein kamchagua nani? Anawasemea wavamizi Watanganyika waliomweka madarakani
 
Hivi shein ni mwungwana tangu lini, huyu si ndo aliiba kura za Maalim Seif? Katika waislam ambao katu hawataiona pepo ni Mohammed Shein na Jakaya Kikwete, madhulumat wakubwa hawa swaumu yao kazi bure!
Subhanallah.

Huu mtihani sana.
 
Kwahiyo hadhi ya jiji tayar....casino...danguro..na wasiwe wanazingua wasio waislam kula mchana pind ya ramadhan
 
Ivi ni Zanzibar au unguja ndio imekua jiji ? Maana Zanzibar ni muunganiko wa kisiwa Cha pemba na unguja na pia unguja kuna mikoa mitatu, kaskazini unguja, kusini unguja na mjini magharibi, hapa mjini magharibi ndio center yaani makao makuu ya unguja, Sasa hebu nieleweshen vizur ni mkoa gan unguja umekua jiji
Je kisiwa cha mafia, mbn sion mkikiongelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio taifa tena Bali ni jiji hongera baada ya dar es salaam mwanza Arusha Sasa ni Zanzibar nitakuja kujionea mandhari ya jiji kikubwa uhai tu
 
Back
Top Bottom