Inasikitisha sana siyo Afrika tu ni dunia nzima sema tifayti yetu na wrngine ni kuw sisi tunagombanishwa wenyewe kwa wenyewe na mabwana wakubwa.
Mfano unaiskia kuhusu Sudan, walianza na Sudan Kusini wakawa wanawapa silaha makundi kule kwa kisingizio cha dini.,mpaka uongizi wa nchi ulipostuka ukasema isiwe shida, chukuweni kusini mjitawale.
Wakaanza tena kuwapa silaha vikundi huko Kusini, paditawslike na yeyite atakaetawala anazilioia hizo silaha, wakaona haitoshi na huku
Kaskazini mali zipo, walkalianzisha la Janjaweed, la janjaweed kustukiwa wameanzisha vikundi kibao wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa ahadi za uongo wanazowapa kika kikundi kuwa watwaunga mkono mpaka wadhije madaraka, sababu yake unaijuwa?
Ni mafuta na hii...
View attachment 2613977