pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Sasa kwanini wakirisito mnafurahi na kutamani afikwe na majanga?Sikujiunga jf kwa kigezo cha dini. Hainihusu hiyo inakuhusu mwenyewe. Acha udini. Rais ni wa Watanzania wote, wapagani, wabudha, wahindu, WAKRISTO waislam nk
Wakristo kibao nawajua hawana huo upuuzi.We ni mkiristo?
Wewe jamaa, kagua comments zangu juu ya jambo hili kama umeona nashibikia tetesi hizi. Ni bora ukajiepusha na udini ulioanza kuutamka mwenyewe. Waasisi wa Taifa letu wangetuongoza kwa akili kama zako tungechinjana balaa. Hoja ya msingi umeiacha kabisa umedandia dini. Msimzushie Kiongozi wa nchi mabalaa, kama sheria inaruhusu mshughulikiwe ipasavyo.Sasa kwanini wakirisito mnafurahi na kutamani afikwe na majanga?
Huo sasa ndio unafiki na uzandiki
Zile habari za kusema makamu wa rais Mpango yuko wapi ziliishia wapi
Anyway, hv msibani napo hua kuna posho?
Nimezungumzia wakristo, inawezekana wewe haumo ila wakristo wengi wamoWewe jamaa, kagua comments zangu juu ya jambo hili kama umeona nashibikia tetesi hizi. Ni bora ukajiepusha na udini ulioanza kuutamka mwenyewe. Waasisi wa Taifa letu wangetuongoza kwa akili kama zako tungechinjana balaa. Hoja ya msingi umeiacha kabisa umedandia dini. Msimzushie Kiongozi wa nchi mabalaa, kama sheria inaruhusu mshughulikiwe ipasavyo.
Hata hapa usikute anayepost ni beki 3 😂😂😂Mbona kila Siku anatuma salaam za pongezi na rambirambi, hata juzi ameipongeza Tabora kuifunga yanga, tunataka asemeje?
Ebu nukuu kifungu cha Katiba kinachokupa haki ya kujua Rais yuko wapi. Ukikiweka hapa, mimi Mtoto wa Shule nitajiondoa JF na sitakuwa member tena!Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Zake.Aende wapi?
Mkuu angalia emoji zangu za kucheka, siko serious na nilichoandika nafanya DHIHAKA tu,Je Unafikiri hiyo itatenda haki. ?!
Je haitaonekana kama udhalimu. ?!
Je haitakuwa ni chukizo machoni pa Mwenyezi Mungu. ?’
Kwani hamjajifunza tu ?
Maana kuna jamaa aliwahi kufanya hivyo na je Mungu akaingiliaje ??
Je yuko wapi sasa ??
Ana mshukuru mungu aliyempa ugonjwa ,na waliomponya ni madaktari, acheni utani mazeeItakuwa ni kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwanza kwa ajili ya uponyaji
Ameandika nn huyo ?Kule Mjini X kwenye page ya mangekimambi kaandika vitu vigumu sana
Nenda kasome sio ruhusa kuandika humu habari ambayo haina uhakikaAmeandika nn huyo ?
Mkuu umekazana sana na udini hivi hujiskii kukosa amani kwa maneno yako?.Au kuna wakristo waliowahi kukuumiza sana ktk maisha yako kwa kigezo cha imani yao!?Sasa kwanini wakirisito mnafurahi na kutamani afikwe na majanga?
Huo sasa ndio unafiki na uzandiki