mama hajawahi tulia, akae nchi yenyewe imejaa mapori tupu huku....anapenda kuzunguka kwenye nchi walizotengeneza marais wenye akili...anaona nchi yake imejaa majizi na waongo anaamua kuzurula hadi muda wake uishe tu
Mbona uzi wa Tanzia ya Huyo jamaa haijafunguliwa humu JF ili wanaomjua watujuze ilikuwaje maana anaonekana alikuwa bado kijana jamani?!
Tangu Jana kila nikitafuta uzi siuoni au wanasubiri hadi mwili utakapoletwa nchini kesho kutwa ?!