B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Apr 7, 2022 #1 Kwamba Urais ni taasisi? Hii ni doctrine ngeni iliyoasisiwa katika awamu ya tano katika kutafuta kuhalalisha yasiyo halali. Uliwaambia vyema polisi, pasipokuwa na ushahidi wasikamate maana mwisho wa siku lawama ni kwako. Sauti hizi zinahusu haki, amani na maridhiano toka kwa wahanga wenyewe si kutoka kwa madalali. Zinabeba ufumbuzi wa manung'uniko yaliyopo. Zisikie sauti hizi: Your browser is not able to display this video. Kuoga huanza na maji kuyavulia nguo.
Kwamba Urais ni taasisi? Hii ni doctrine ngeni iliyoasisiwa katika awamu ya tano katika kutafuta kuhalalisha yasiyo halali. Uliwaambia vyema polisi, pasipokuwa na ushahidi wasikamate maana mwisho wa siku lawama ni kwako. Sauti hizi zinahusu haki, amani na maridhiano toka kwa wahanga wenyewe si kutoka kwa madalali. Zinabeba ufumbuzi wa manung'uniko yaliyopo. Zisikie sauti hizi: Your browser is not able to display this video. Kuoga huanza na maji kuyavulia nguo.
M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,079 Apr 7, 2022 #2 Katiba ni sasa
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,840 Reaction score 110,910 Apr 7, 2022 #3 Bila kusahau katiba mpya
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 14,025 Reaction score 28,096 Apr 7, 2022 #4 Namshukuru Rais wetu Samia kwa kuniwezesha mimi kuandika hii comment. Hii awamu hii[emoji1]
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,391 Reaction score 23,038 Apr 7, 2022 #5 Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani? Nyie si mlikuwa upande wa mabeberu na mafisadi?
Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani? Nyie si mlikuwa upande wa mabeberu na mafisadi?
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Apr 7, 2022 Thread starter #6 maruudaniel said: Katiba ni sasa Click to expand... Ninakazia: kuoga huanza na maji kuyavulia nguo.
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,391 Reaction score 23,038 Apr 7, 2022 #7 Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu.
Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Apr 7, 2022 Thread starter #8 Sang'udi said: Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani? Click to expand... Tukisema wananchi tunaongelea mtu mmoja mmoja katika nchi husika. Kujua wananchi wanasema je ni kwa kura ya maoni na si vinginevyo.
Sang'udi said: Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani? Click to expand... Tukisema wananchi tunaongelea mtu mmoja mmoja katika nchi husika. Kujua wananchi wanasema je ni kwa kura ya maoni na si vinginevyo.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Apr 7, 2022 Thread starter #9 Sang'udi said: Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu. Click to expand... Watanzania wengi tuko upande wa haki, amani na maridhiano kuhusisha wahanga siyo madalali.
Sang'udi said: Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu. Click to expand... Watanzania wengi tuko upande wa haki, amani na maridhiano kuhusisha wahanga siyo madalali.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,145 Reaction score 137,352 Apr 7, 2022 #10 Sang'udi said: Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu. Click to expand... Watanzania wa Burundi bila shaka.
Sang'udi said: Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu. Click to expand... Watanzania wa Burundi bila shaka.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Apr 7, 2022 Thread starter #11 Yoda said: Bila kusahau katiba mpya Click to expand... Ninakazia: kuoga huanza na kuvua nguo.