Unataka tushushe bendela nusu mlingoti mwaka huu tena?Ikitokea la kutokea Rais Samia akaingia himaya ya BBC kipindi Cha maswali magumu "hard talk", unadhani katika kipengere Cha demokrasia majibu yatakuwaje?
Stephen Sucker anavyojua kubana. Mara anajibu hivi halafu analetewa evidence na kutakiwa ajibu.
Mara anarejeshwa kwenye kauli na kupewa baadhi ya hotuba zake na kuonyeshwa jinsi Nyakoro huku home anavyowatuma polisi kuziba midomo upinzani.
Mwisho anaulizwa yeye na mahakama Nani alitoa hukumu kwa wenzake na Mbowe katika kesi Yao ya ugaidi.
Picha inahitimishwa kwa kumpongeza Kama rais mwanamke na kuulizwa Kama atagombea Tena.
Tuombe hii itokee.
Hongera SSH kwa mualiko huu. Ila jipange na maswali ya diaspora pia.
View attachment 1944181