ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,214
- 50,942
Rais Samia amewataka vijana wa CCM kujibu taarifa na hoja za Wapinzani kwa takwimu na ushahidi wa kazi nzuri ya Serikali badala ya kulumbana, kubishana na kutukanana na Wapinzani ambao wamejaa stress na sura za kufura.
Rais Samia amewataka wafuate mfano mzuri wa Mimi ChoiceVariable katika kujibu madai ya watoa taarifa(Wapinzani) kwa takwimu, ukweli na usahihi ambao nimekuwa nafanya hapa Jukwaani kiasi watu kuniita kila aina ya majina.
My Take
Ili UVCCM waweze kutimiza azma hiyo ya Rais ni sharti wawe na taarifa sahihi na wajue Kwa kupata taarifa na wawe wanapenda kujisomea vinginevyo wanaweza kuleta taharuki.
Pia taasisi za Serikali ni lazima ziwe zinatoka taarifa au updates za mara Kwa mara kwenye sites zao Ili iwe rahisi juzi access maana kumekuwa na kamtindo ka kuficha taarifa.
Hongera sana Rais Samia kwa kuwakumbusha UVCCM, wakishindwa mimi nitaendelea kuwasaidia bure kabisa maana mimi sio Mwanachama wa CCM bali shabiki wako, I like the way unaongoza nchi kwa mafanikio makubwa.
Kazi iendelee.