Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,120 Reaction score 879 May 13, 2026 #1 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja. ◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine ◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania ◇Matunda, mboga mboga, maua, samaki kupelekwa ulaya
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja. ◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine ◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania ◇Matunda, mboga mboga, maua, samaki kupelekwa ulaya