ni muhimu na vizuri sana ndugu Rais na kipenzi cha waTanzania wote, comrade Dr.Samia Suluhu HassanRais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Ukinipuuza mi napungukiwa nini!?Hiyo user name yako tu inaonyesha wewe ni mpumbavu, naamua kukupuuza jumla.
Taarifa zako huwa ni za kuaminika SanaaaRais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Kwani mama ana pigaga KV kwa sisi waislamu KV ni haramu.Mama akishapiga KV sio wa kumuachia mic
Lete ndono hizoRais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Hiivi unawezaje kuwa na akili timamu halafu ukawa mwanachama wa CCM. Si bora ujikalie tu bila kuwa na chama chochote!? Unajua hata nyinyi wanachama wa CCM mmetapakaa hizi damu za watanzania wasio na hatia kama viongozi wenu? Hivi mnajisikiaje uhai wa wapinzani/wanaokosoa serikali ukitolewa? Ni raha sana?Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Taarifa zako huwa ni za kuaminika Sanaaa
Wenye mamlaka wamekusikia.
Kweli mkuu.Na mtu leo kaniambia kwamba inawezekana mama halikuwa hajui nn kinatendeka kwa wanachama wa cdm lkn na mimi nikawaza kwa kina
labda mama alikuwa hajui au halijua lkn hakutarajia itafikia hatua hii
chamsingi polisi wajitafakari na watambue wao ni walinzi wa usalama kwa raia na kuzuia hualifu kwahyo wasitumike na chama kwa lengo la kisiasa
VizuriKwani mama ana pigaga KV kwa sisi waislamu KV ni haramu.
Mama hawezi piga KV.
Anaweza kabisa!Mbona mnashupalia kua anadanganywa??? Nyie hamuamin kama samia ndo anatuma watu waue wapinzani wake?! Is Samia an Angel kwamba tuseme anadanganywa yeye hawezi agiza watu wafanye vile?!
Huyo nimeshamu ignore kitambo sana. Hivyo sioni alichoandika. Ila base on your reply, najuwa itakuwa ni utumbo tu.Hiyo user name yako tu inaonyesha wewe ni mpumbavu, naamua kukupuuza jumla.
Anapiga vyombo?Mama akishapiga KV sio wa kumuachia mic
Nakashajaa kwenye mfumo wa wajanja nimwendo wa kubamizwa tu,atakujashtuka amechelewa mileleBimkubwa anaingizwa chaka kiboya sana na yeye anajaa mazima
Toka utudanganye kuwa Makonda ni mahututi sikuamini tena!Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake!
Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia
Narudia Nataka niandike jambo kwa uwakilishi au uwasilishaji wake uwe wa kwamba mods hawataondoa Uzi !
Ila Polisi baadhi
1. Matapeli
2. Majambazi
3. Wezi
4. Wauaji
wanatumia nafasi yao kufanya hayo juu
TIMU ILOKUZUNGUKA INAKU MISLEAD
JANA IKABIDI ULIYOYASEMA KWA MANENO WENYE HEKIMA WAKAYAHARIRI UPYA KWENYE PRESS RELEASE NOTE!
Britanicca
Yeah, nafikiri hata kwa kesi ya Ali Kibao walimdanganya kwamba anapanga uhaini, na wakamwambia kuwa njia pekee ni kumuua.Nafikiri maana yake ni kuwa wanamdanganya na kumtisha ili akubaliane nao kuwa njia pekee ya kudeal na hao wabaya wake ni kuwateka na kuwaua.
SureSamia anajua kuwa yote ni uongo LAKINI KWA VILE YANAMSAIDIA KU CONSOLIDATE POWER, AGRESSIVE SUPREME OF POWER, ANAYAKUBALI AKIJUA FIKA KUWA NI UONGO MTUPU