Rais Samia umeruhusu hii? Ichukulie hatua kali

Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Ila na sisi watanzania tumezidi ukondoo. Hii nisingekubali kwa hali yoyote na pengine ndiyo ingekuwa mwisho wangu na yeye. Ujinga gani! Hapa Samia pamoja na ubaya wake lakini hahusiki kwa vyovyote.
 
Asante sana. Mwenye matatizo ni aliyekubali kucharazwa viboko.
Kumbuka huyo ni mwenyekit wa ulinzi na usalama ukibishana naye hapo basi umeitafuta shari na jeshi la polisi katika eneo lake nanwaweza kupotea kabisa
 
Ila na sisi watanzania tumezidi ukondoo. Hii nisingekubali kwa hali yoyote na pengine ndiyo ingekuwa mwisho wangu na yeye. Ujinga gani! Hapa Samia pamoja na ubaya wake lakini hahusiki kwa vyovyote.
amtengue basi kama haafiki ushenzi huu
 
Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Huyu kenan kihogosi huwa namuona kama hazimtoshi kabisa kabisa ,tangu akiwa UVCCM sielewagi Serikali inamuona ana kipi cha kuo
Itendea nchi hii mtu kilaza kama huyu, labda kwa vile CCM inapenda viongozi wa aina hii
 
Hii ilitokea kipindi bingwa wa UTETEZI FEKI wa WANYONGE akiwa ni CEO na ni ARUSHA hapo.
Tulikuwa uchumi wa kati,hivi kwa sasa uchumi wetu ni wa viwango gani?
 
Mkuu, hii ni ya zamani sana. Wakati huo Kihongosi alikuwa DC Arusha. Kwasasa amekuwa RC hukohuko.

Kimsingi, kitendo kilichofanyika kilikuwa ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni. Sijui kwanini waathiriwa hawakumburuza mahakamani.
Mahakama hizi hizi zinazonpokea oda? Au mahakama zipi ndugu yangu
 
Kumbuka huyo ni mwenyekit wa ulinzi na usalama ukibishana naye hapo basi umeitafuta shari na jeshi la polisi katika eneo lake nanwaweza kupotea kabisa
Bora kufa kuliko kufanyiwa huo upambavu, kwani mahakama zipo kwa ajili Gani!
 
Mkuu, hii ni ya zamani sana. Wakati huo Kihongosi alikuwa DC Arusha. Kwasasa amekuwa RC hukohuko.

Kimsingi, kitendo kilichofanyika kilikuwa ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni. Sijui kwanini waathiriwa hawakumburuza mahakamani.
asante kwa kuweka rekodi sawa. Nmeikuta tweeter
 
😹😹😹
Nchi ngumu sana hii..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…