Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,511
Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.
Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In.
Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini?
Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu kwa udhaifu wake wa ndiyo ndiyo, Hivi ina maana mama hasomagi Takwimu za Dunia kuwa Tanzania kuna Mabilionea(USD Millionaires) wengi kuliko Kenya?
Mama anasema Tanzania ina ardhi Kubwa ana wakaribisha Wakenya, Je anajua uhaba wa Ardhi Kenya ni kwa sababu ya familia chache zenye nguvu kisiasa kuhodhi ardhi?
Mama anajua kuwa Wakenya zaidi ya asilimia 80 hawana ndoto wala hawataweza kabisa kujenga wala kumiliki Nyumba zao kipindi chote cha maisha yao?,
Mama anasahau hoja kuwa Tanzania ina watu wengi (Soko Kubwa), Huduma za Kijamii na mahitaji yote ya msingi kufanya biashara ni conducive Tanzania kuliko Kenya?
Mana anasahau au aliona aibu kusema mazingira mazuri yaliyopo kenya kwa wafanya biashara ni urahisi wao kutoa Rushwa kuliko Tanzania?
Mzee Mangula tunaomba Mlisisitize Bunge limchunge huyu Mama, na 2025 mfanye uchaguzi upya.