Rais Samia umeanza kunikosha, bado Sabaya tu

Usichokujua chama kimerejeshwa mikononi mwao. Maana yake ni kwamba wana nguvu kuliko wale washamba toka ile Kanda pendwa...
Kwa hiyo unamaanisha,tuache wapigaji wapige watakavyo au siyo!!??
 
Usichokujua chama kimerejeshwa mikononi mwao. Maana yake ni kwamba wana nguvu kuliko wale washamba toka ile Kanda pendwa...
MAKONDA finisher kile cheo kukaa ndani ya muda mfupi na kamaliza mission,,ile ni kamati ya ufundi sema maboya mnaangalia vyeo tu 2025 itaeleweka
 
Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hap...
Yes bado kumrejesha sabaya ole lengai. Huyu kijana mzalendo sana na jasiri kabida kupigania haki na maendeleo ya umma.

Bila haki hakuna maendeleo ya umma ila maendeleo ya fisadi mabwanyenye na mabepari uchwara. Hilo sio lengo katika itikadi ya ccm. Labda kama ccm imebadili gear hewani maana tunaona mabepari uchwara kama kina GSM wakipata ujasiri kuwafungulia kesi bandia wateule wa rais wa jamhuri kama vile wao sasa ndio wanapanga safu ya viongozi nchi hii.
 
Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi.

Sasa umebakiza kumrudisha ulingoni kijana Lengai Ole Sabaya na moyo wangu utakuwa umeukuna moja kwa moja kabisa Rais Samia.

Paul Makonda, Ally Hapi, Lengai Sabaya ni vijana wa Magufuli na ni wachapakazi kwelikweli lakini walichafuliwa na matapeli Chadema wakishirikiana na wauza madawa ya kulevya na mafisadi ya nchi hii.

Lakini wahenga walishasema muda ni mwalimu mzuri sana na sasa imepita miaka 3 hamna tapeli yoyote aliyeweza kuleta ushahidi kuhusu tuhuma za hao vijana.
Kumbe walikuwa matapeli
 
Mama yenu ameshakubali kuungana na majambazi hivyo hata Sabaya akirudi sio jambo la kushangaza.

Pesa zinaibiwa hakuna anayewajibishwa anaishia kuwahamisha nafasi tu na kuwaita stupid.
 
Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi.

Sasa umebakiza kumrudisha ulingoni kijana Lengai Ole Sabaya na moyo wangu utakuwa umeukuna moja kwa moja kabisa Rais Samia.

Paul Makonda, Ally Hapi, Lengai Sabaya ni vijana wa Magufuli na ni wachapakazi kwelikweli lakini walichafuliwa na matapeli Chadema wakishirikiana na wauza madawa ya kulevya na mafisadi ya nchi hii.

Lakini wahenga walishasema muda ni mwalimu mzuri sana na sasa imepita miaka 3 hamna tapeli yoyote aliyeweza kuleta ushahidi kuhusu tuhuma za hao vijana.

Hapi aliwasema na kuwafitini baadhi ya wazee wa CCM enzi za Mwendazake Je hao wazee hawapo tena?
 
Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi.

Sasa umebakiza kumrudisha ulingoni kijana Lengai Ole Sabaya na moyo wangu utakuwa umeukuna moja kwa moja kabisa Rais Samia.

Paul Makonda, Ally Hapi, Lengai Sabaya ni vijana wa Magufuli na ni wachapakazi kwelikweli lakini walichafuliwa na matapeli Chadema wakishirikiana na wauza madawa ya kulevya na mafisadi ya nchi hii.

Lakini wahenga walishasema muda ni mwalimu mzuri sana na sasa imepita miaka 3 hamna tapeli yoyote aliyeweza kuleta ushahidi kuhusu tuhuma za hao vijana.
Hivi unatumia kichwa kama kinga ya mvua? Mbona umeandika matapishi?
 
Back
Top Bottom