Kwamba akiuke wajibu wake na ababelekezwe? Pumbavu kabisa!Enforcement unamfanyia anayekulipa mshahara!
Amemkuwa mhalifu?
Ahsante Mama kwa kutuondolea huyu DC Mshamba Mshamba,Wilaya uliyompeleka ni sahihi kabisa narudia tena ahsante sana.Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
Uramboooo!!!Wangempeleka hata Mvomero
Urambo Halmashauri wajiandae, DED lazima apelekeshwe ili DC apate mgao.Ahsante Mama kwa kutuondolea huyu DC Mshamba Mshamba,Wilaya uliyompeleka ni sahihi kabisa narudia tena ahsante sana.
Hugo ni wapiJuzi nilikuwa natoka Dar muda wa saa 6 usiku nikapitia pale Hugo full shangwe music 🎶 mkubwa watu wanakula raha ungefikiri hakuna kesho.
Saa 8 naingia Arusha ukiwa umetamalaki kila sehemu nauliza kulikoni nasmbiwa DC Mtaka.
Hii nchi kuna sheria na taratibu za kila Mkoa au kila Wilaya kutegemea utashi wa kiongozi.
Sawasawa na wavuta sigaraNa nyinyi acheni kuwapigia watu kelele kwa starehe zenu bhana. Wengine muda huo wanatakiwa kupumzisha akili.
DC yuko sahihi. Kama mnataka kuendelea kunywa kuanzia hiyo saa 6 usiku, zimeni mziki ili watu walale.
Na kama haiwezekani, basi wekeni sound proof.
Panaitwa Hugos..to be preciseMoshi mjini.
Vipi? Kanyonyolewa ama?Kilio chetu kimesikilizwa.
KabisaMtanda ni mzigo