Juzi nilikuwa natoka Dar muda wa saa 6 usiku nikapitia pale Hugo full shangwe music 🎶 mkubwa watu wanakula raha ungefikiri hakuna kesho.Daaa yan Hawa wateule bhana hiii yote inasababishwa na nchi kukosa dira ingetakiwa kila mteule akiingia offisini anakuta dira na mipaka yake ya kaz mtuu anakuja na jambo laki kichwani jinsi anavoamua ndohilo hilo utafikir anaongoza familia yake
Unatafuta hela kwa kutumia akili nyingi wakati wa kutumia mtu mzima anaanzisha tafrani.Jiji la Kitalii lililosheheni wageni wanashuhudia mabunduki kuzuia muziki? Wajibu wao ni kulinda shughuli za raia sio kuzuia. Kama mtu ana leseni halali na muziki wake hausumbui wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo kwanini kumsumbua?
Jiji Kama Arusha ni muhimu ku handle activities zake bila kuleta imagine mbaya kwa wageni. Pub nyingi ni indoor, sioni sababu ya usumbufu.
Ngongo seems wamekutibua sana [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja, kuwaleta washamba mikoa ya wajanja ni kuzorotesha maendeleo!.Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
DC mtanda naomba utembelee hizi bar zilizopo along Serengeti Road, Uzunguni. Ni tatizo kwa wakazi wa mitaa hii.Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
Wacha ushamba wewe,Ndio atembee na Polisi wenye silaha kwenye kumbi za starehe?Kwani akiwaita ofisini kwake na kuwapa maelekezo kuna tatizo gani?DC mtanda naomba utembelee hizi bar zilizopo along Serengeti Road, Uzunguni. Ni tatizo kwa wakazi wa mitaa hii. Haya ni maeneo ya makazi ya watu, watoto na wazee nyakati za usiku wanashindwa kulala kutokana kelele za usiku. Mziki na kelele za ajabu mno nyakati hizo. Bar zilizokubuhu mitaa hii ni Life fitness na Escape II.
Kwenye hili nasimama na DC Mtanda. Tumechoka na Kero hizi. Inatosha.
Bar zilizopo kwenye makazi ya watu ziwe na ustaarabu, hakuna grounds ya ku-entertain walevi.
Huyo DC anaujua utamu wa pombe?Aombewe.Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
Kwani bila muziki pombe haipiti kooniDC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Mimi niko mji mwingine kabisa ila kwa hili la kelele za miziki kwenye makazi ya watu ni too much, NEMC wanastahili lawama sana hivi sasa, vyombo vya miziki vimeingia kwa wingi sana hakuna tofauti na mifuko ya plastic, ukipita kila kona ni kelele, basi iwekwe sheria kila anayeweka muziki aweke sound proofing kwenye eneo lakeDC mtanda naomba utembelee hizi bar zilizopo along Serengeti Road, Uzunguni. Ni tatizo kwa wakazi wa mitaa hii. Haya ni maeneo ya makazi ya watu, watoto na wazee nyakati za usiku wanashindwa kulala kutokana kelele za usiku. Mziki na kelele za ajabu mno nyakati hizo. Bar zilizokubuhu mitaa hii ni Life fitness na Escape II.
Kwenye hili nasimama na DC Mtanda. Tumechoka na Kero hizi. Inatosha.
Bar zilizopo kwenye makazi ya watu ziwe na ustaarabu, hakuna grounds ya ku-entertain walevi.
Kelele kwenye makazi ya watu sidhani kama ni jambo la sawa hata kama huyo DC amezaliwa texas.Miji ya kimkakati kama Arusha,Mwanza,Dar,Dodoma na Mbeya inatakiwa watu smart wenye exposure ya mambo ya Biashara Ili wasimamie vizuri shughuli za kiuchumi,sasa huu uteuzi wa makada wanaojua pambio za chama ni shida!