Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 2,211
- 4,472
Tukope tuu, hasa kwenye uzalishaji na miundo mbinu ya umeme na Barabara, ila marufuku mikopo ya kujenga matundu ya vyoo au VX za viongozi wa serikaliHata Mimi Namshangaa,yaani uache kukopa kufungua Uchumi wa Wananchi Bali uendelee kuwakamua kwa.makodi na matozo yasiyo na msingi?
Hivi mentality hii ya kuogopa kukopa nani aliwajaza Watanzania wakiwemo viongozi? Yaani Nchi inaogopa kukopa? Huu ni ulemavu wa kifikra.
Hakuna namna Nchi itaendelea bila kukopa.
Tanznaia ni mavumbi na haifikiki Kwa sehemu kubwa harafu hutaki kukopa Ili watu Waendelee kuwa maskini au?
Yaani unakutana kabisa na maskini anashangilia Nchi isikope bila kujua anaeumia Kwa sehemu kubwa ni yeye.Serikali isipokopa manake mzigo wa Kodi ni Kwa Mwananchi.