johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,626
- 142,966
Rais Samia baada ya kuapisha viongozi wateule, amesema kuwa sasa serikali inakwenda kupunguza kukopa.
Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo,"