1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa wasamehewe? kweli ? basi samehe na wabakaji magerezani wa mihemko, naomba tuombe radhi tuliotumia nguvu na damu kulinda maeneo yetu na biashara zetu zisichomwe huku askari wakikimbia kama kuku , mfano ni mtaa wangu wa biashara Uyole walitaka kuvunja crdb na nmb waibe tuliogopa wakimaliza watakuja kwetu tukaanza kuwasambaratisha kwa bunduki kama raia wema hapo hatukuwa na akiba ya risasi tulirisk sana na tulikuwa watatu tu, halafu unawasamehe kweli? RAIS SAMIA KWELI SHIDA NINI KWANI UNATAKA KURA ? SI UMESHAAPISHWA kwa nini unajipendekeza kwa majambazi? batilisha kauli agiza wapigwe risasi tena tangaza na siku ya kuwanyonga tuma ujumbe uhalifu uishe.
2. HIVI baada ya polisi kuanza kuchukua hatua kali mbona waliacha kufanya uhalifu? maana yake ni kwamba walikuwa wanapima kina cha maji, piga risasi tu kila mhuni acha maridhiano na wahalifu onyesha leadership kama amiri jeshi mkuu
3. Watu wenye wivu na mafanikio ya watu wanawashinda raia wema kweli? yaani wafanyabiashara wema wengi wameumizwa huwapi pole unawapa zawadi majambazi kweli? tuombe radhi rais unawavunja moyo vyombo vya ulinzi hawa walioshikwa wataje wenzao na wapigwe risasi wote ujumbe ufike